title : Bopar atoa msaada kwa Hospitali za Chakechake na Mkoani
kiungo : Bopar atoa msaada kwa Hospitali za Chakechake na Mkoani
Bopar atoa msaada kwa Hospitali za Chakechake na Mkoani
Waziri wa Afya wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Hamad Rashid Mohammed, akipokea msaada wa Mchele kutoka kwa mfanyabiashara maarufu wa Zanzibar , Said Nassir Nassor, kwa ajili ya Hospitali ya Chake Chake
Chake Pemba.
Mfanyabiashara maarufu Zanzibar, Said Nassir Nassor (BOPAR) akitowa msaada mafuta ya kula kwa ajili ya Hospitali ya Chake Chake Pemba.
Mfanyabiashara maarufu wa Zanzibar , Said Nassir Nassor , akimkabidhi msaada wa Sabuni ya kufulia kwa ajili ya Hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani Kisiwani Pemba.
Picha na Habiba Zarali -Pemba.
Hivyo makala Bopar atoa msaada kwa Hospitali za Chakechake na Mkoani
yaani makala yote Bopar atoa msaada kwa Hospitali za Chakechake na Mkoani Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Bopar atoa msaada kwa Hospitali za Chakechake na Mkoani mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/bopar-atoa-msaada-kwa-hospitali-za.html



0 Response to "Bopar atoa msaada kwa Hospitali za Chakechake na Mkoani"
Post a Comment