title : SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WABUNGE KUTOKA BUNGE LA IRAN
kiungo : SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WABUNGE KUTOKA BUNGE LA IRAN
SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WABUNGE KUTOKA BUNGE LA IRAN
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Balozi wa Iran nchini Tanzania Mhe. Mousa Farhang (kulia) alipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma. Katikati ni Mwenyekiti wa kamati ya urafiki baina ya Bunge la Tanzania na Iran, Mhe. Dkt. Ardeshir Noorian
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza mgeni wake Mwenyekiti wa kamati ya urafiki baina ya Bunge la Tanzania na Iran, Mhe. Dkt. Ardeshir Noorian (wa pili kulia), ugeni kutoka Bunge la Iran ulipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma. Kulia ni Balozi wa Iran nchini Tanzania Mhe. Mousa Farhang na Afisa kutoka ubalozi wa Iran nchini Tanzania Ndg. Maisara Ally (wa pili kushoto)
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na mgeni wake Mwenyekiti wa kamati ya urafiki baina ya Bunge la Tanzania na Iran, Mhe. Dkt. Ardeshir Noorian (wa pili kulia), Balozi wa Iran nchini Tanzania Mhe. Mousa Farhang (kulia) na Afisa kutoka ubalozi wa Iran nchini Tanzania Ndg. Maisara Ally (wa pili kushoto) walipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Hivyo makala SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WABUNGE KUTOKA BUNGE LA IRAN
yaani makala yote SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WABUNGE KUTOKA BUNGE LA IRAN Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WABUNGE KUTOKA BUNGE LA IRAN mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/spika-ndugai-akutana-na-kuzungumza-na_17.html
0 Response to "SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WABUNGE KUTOKA BUNGE LA IRAN"
Post a Comment