RC PWANI APIGA MARUFUKU UINGIZWAJI WA MIFUGO ENEO LA UWEKEZAJI KIWANDA CHA SUKARI CHA BAKHRESA

RC PWANI APIGA MARUFUKU UINGIZWAJI WA MIFUGO ENEO LA UWEKEZAJI KIWANDA CHA SUKARI CHA BAKHRESA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RC PWANI APIGA MARUFUKU UINGIZWAJI WA MIFUGO ENEO LA UWEKEZAJI KIWANDA CHA SUKARI CHA BAKHRESA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RC PWANI APIGA MARUFUKU UINGIZWAJI WA MIFUGO ENEO LA UWEKEZAJI KIWANDA CHA SUKARI CHA BAKHRESA
kiungo : RC PWANI APIGA MARUFUKU UINGIZWAJI WA MIFUGO ENEO LA UWEKEZAJI KIWANDA CHA SUKARI CHA BAKHRESA

soma pia


RC PWANI APIGA MARUFUKU UINGIZWAJI WA MIFUGO ENEO LA UWEKEZAJI KIWANDA CHA SUKARI CHA BAKHRESA

NA MWAMVUA MWINYI,BAGAMOYO

MKUU wa mkoa wa Pwani ,mhandisi Evarist Ndikilo amepiga marufuku uingizwaji wa mifugo katika eneo la kampuni ya Said Salim Bakhresa Group Ltd,ambalo amekusudia kuanza ujenzi wa kiwanda cha sukari Juni 2019 na uzalishaji ifikapo septemba 2020-2021. 

Aidha amewasihi wafugaji kuheshimu maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya uwekezaji na kilimo . Ndikilo aliyasema hayo ,wakati kamati ya siasa ya mkoani humo , ilipotembelea shamba hilo kujionea utekelezaji wa agizo la Rais alilolitoa kipindi cha nyuma baada ya kufungua kiwanda cha vinywaji baridi cha kampuni hiyo kilichopo Mkuranga.

Alisema agizo la Rais lilikusudia kuondoa pengo la uzalishaji wa sukari kwa matumizi ya kawaida nchini . Ndikilo, alisema mradi huo ni mkubwa na ni hazina kwa mkoa na kujivunia kupiga hatua ya kiuchumi na ujenzi wa viwanda.

Mkuu huyo wa mkoa alishauri sehemu ya mradi kuwe na wakulima wa nje ili kuwaondolea umasikini. Kuhusu fidia walioguswa na mradi huo alisema fidia inalipwa kwa awamu na taratibu za kuwafanyia tathmini hivyo ambao bado wavute subira lakini hawatolipwa wavamizi. Nae msimamizi wa mradi huo, Muharami Mkenge alielezea, kampuni ya Said Salim Bakhresa (SSB) Group LTD imekusudia kuanza ujenzi wa kiwanda Juni 2019 na uzalishaji wa sukari kiwandani ifikapo septemba 2020-2021. 
MKUU wa mkoa wa Pwani ,mhandisi Evarist Ndikilo akizungumza mbele ya Viongozi wa Serikali na Chama cha CCM,alipokuwa akitoa tamko la kupiga  marufuku uingizwaji wa mifugo katika eneo la kampuni ya Said Salim Bakhresa Group Ltd,ambalo amekusudia kuanza ujenzi wa kiwanda cha sukari Juni 2019 na uzalishaji ifikapo septemba 2020-2021.



Hivyo makala RC PWANI APIGA MARUFUKU UINGIZWAJI WA MIFUGO ENEO LA UWEKEZAJI KIWANDA CHA SUKARI CHA BAKHRESA

yaani makala yote RC PWANI APIGA MARUFUKU UINGIZWAJI WA MIFUGO ENEO LA UWEKEZAJI KIWANDA CHA SUKARI CHA BAKHRESA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RC PWANI APIGA MARUFUKU UINGIZWAJI WA MIFUGO ENEO LA UWEKEZAJI KIWANDA CHA SUKARI CHA BAKHRESA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/rc-pwani-apiga-marufuku-uingizwaji-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RC PWANI APIGA MARUFUKU UINGIZWAJI WA MIFUGO ENEO LA UWEKEZAJI KIWANDA CHA SUKARI CHA BAKHRESA"

Post a Comment