title : RC MAKONDA KUTOA KADI ZA BIMA YA AFYA KWA WATOTO WALIOTELEKEZWA.
kiungo : RC MAKONDA KUTOA KADI ZA BIMA YA AFYA KWA WATOTO WALIOTELEKEZWA.
RC MAKONDA KUTOA KADI ZA BIMA YA AFYA KWA WATOTO WALIOTELEKEZWA.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda amesema kinamama wote waliofika ofisini kwake wakiwa na watoto kwa ajili ya kupatiwa msaada wa kisheria baada ya kutelekezwa atawapatia kadi za Bima ya Afya (Toto Afya Card) Bure kwa ajili ya matibabu ya watoto wao.
RC Makonda amesema kadi hizo zitatolewa kwa watoto wenye umri chini ya miaka 17 kwa kila mama aliefika ofisini kwake pasipokujali idadi ya watoto alionao.
Uamuzi huo umekuja baada ya RC Makonda kujionea mateso wanayopata kinamama hao ikiwemo watoto kuugua Magonjwa yanayohitaji gharama kubwa za matibabu na kwakuwa wengi wa kinamama hao wana hali ngumu kimaisha wanashindwa kumudu gharama na kusababisha maumivu na mateso kwa mtoto.
Aidha RC Makonda amesema hadi kufikia mchana wa leo zaidi ya kinamama 1,030 walikuwa tayari wamesikilizwa na Kati ya hao watu mashuhuri 107 wakiwemo wanasiasa na viongozi wa dini wametuhumiwa kutelekeza watoto.
Hata hivyo RC Makonda amesema kuanzia wiki ijayo kinababa waliotelekeza watoto wataitwa ofisini kwake kwaajili ya kutoa ufafanuzi na atakaekaidi kufika atachukuliwa hatua kaliza kisheria.

RC Makonda aliongeza hayo wakati wa zoezi la kubaini Wazazi waliokimbia Watoto wao linaloendelea katika ofisi zake,amesema kuwa idadi hiyo imebainika jana na juzi wakati wa zoezi hilo, pia amesema kuwa si kundi hilo tu la watu mashughuli pia kuna kundi la Watu ambao wanaona aibu kufika katika eneo hilo.
"Hawa Watu wanaona aibu kufika ofisini ofisini hapa, hakuna kukutana na mimi chemba, habari yakupigiana simu kuniambia Mheshimiwa naomba nije peke yangu hakuna", amesisitiza Makonda
"Watu Mashughuli, watu wenye heshima tukikupima DNA nakugundua mtoto ni wako, basi utalipa fidia zote za huyo mtoto".Amesema wale wanaokaidi wito kufika ofisini hapo, kuanzia kesho watapelekewa barua pamoja na kupigiwa simu.
Zoezi hilo lakubaini Wazazi waliokimbia watoto wao lilianza siku ya Jumatatu ya April 9, 2018 na linatarajiwa kumalizika siku ya Ijumaa April 13 mwaka huu.

Baadhi ya Akina Mama waliojitokeza katika Ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kudai fidia za Watoto wao kwa Wazazi wenzao waliokimbia watoto hao.
Mmoja wa Maafisa wa Ustawi wa Jamii akiwasikiliza Wazazi wa Kiume walioitikia wito kufika Ofisni kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam.
Baadhi ya akina Baba waliotikia wito kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kusikiliza malalamiko kwa wake zao. (PICHA NA EMMANUEL MASSAKA)
Hivyo makala RC MAKONDA KUTOA KADI ZA BIMA YA AFYA KWA WATOTO WALIOTELEKEZWA.
yaani makala yote RC MAKONDA KUTOA KADI ZA BIMA YA AFYA KWA WATOTO WALIOTELEKEZWA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RC MAKONDA KUTOA KADI ZA BIMA YA AFYA KWA WATOTO WALIOTELEKEZWA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/rc-makonda-kutoa-kadi-za-bima-ya-afya.html
0 Response to "RC MAKONDA KUTOA KADI ZA BIMA YA AFYA KWA WATOTO WALIOTELEKEZWA."
Post a Comment