AJALI YA NGEGE YAUA ARUSHA

AJALI YA NGEGE YAUA ARUSHA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa AJALI YA NGEGE YAUA ARUSHA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : AJALI YA NGEGE YAUA ARUSHA
kiungo : AJALI YA NGEGE YAUA ARUSHA

soma pia


AJALI YA NGEGE YAUA ARUSHA



Ndege inayomilikiwa na kampuni ya Safari Air Link ambayo ilikuwa ikitokea Arusha kuelekea Serengeti mkoani Mara kwa ajili ya kuchukua abiria, ilianguka na kusababisha kifo cha mtu mmoja ambaye ni rubani.

Ndege hiyo yenye uwezo wa kubeba abiria watano ilianguka jana katika milima ya Monduli kijiji cha Engalaon kilichopo wilaya ya Arumeru mpakani na wilaya ya Monduli huku chanzo cha tukio hilo bado hakijajulikana.

Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Naibu Kamishna (DCP) Charles Omari Mkumbo alisema kwamba ndege hiyo aina ya Cessina 206 yenye namba za usajili 5H-SAL 206 ilianza safari ya kutoka uwanja wa ndege wa Arusha jana muda wa saa 1:05 Asubuhi ikiwa na rubani pekee na muda wa saa 4:00 Asubuhi taarifa za kuanguka ndege hiyo zilianza kusikika.

“Mara baada ya taarifa hiyo muda wa saa 6:30 Mchana ndege hiyo ilionekana na kubainika kuwepo kwa mwili wa mtu mmoja ambaye ni Rubani aliyejulikana kwa jina la David Mbale (25) mkazi wa Dar es saalam ambao umehifadhiwa katika hospitali ya mkoa ya Mount Meru”. Alisema Kamanda Mkumbo, na kubainisha kuwa uchunguzi wa tukio hilo utafanywa na wataalamu ili kubaini chanzo cha ajali hiyo.


Hivyo makala AJALI YA NGEGE YAUA ARUSHA

yaani makala yote AJALI YA NGEGE YAUA ARUSHA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala AJALI YA NGEGE YAUA ARUSHA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/ajali-ya-ngege-yaua-arusha.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "AJALI YA NGEGE YAUA ARUSHA"

Post a Comment