title : Matukio ya Picha Kisiwani Pemba leo.
kiungo : Matukio ya Picha Kisiwani Pemba leo.
Matukio ya Picha Kisiwani Pemba leo.
BANDARI ya Mkoani Kisiwani Pemba imekuwa ni moja ya bandari kubwa kwa sasa, kwa shuhuli mbali mbali za ushushaji mizigo kutoka Unguja na Mombasa, pichani Meli ya Mv Hassanat ikiteremsha mizigo ya wafanya biashara mbali mbali wa Pemba
MCHUKUZI katika bandari ya Wesha Kisiwani Pemba, akiwa amebeba gunia la mbatata katoka moja ya mashaua iliyofunga nanga katika bandari hiyo kutoka mkoani Tanga na kupakia katika gari, bandari ya Wesha imekua ni moja ya bandari muhimu kwa wafanya biashara wa mji wa chake chake kuteremsha bidhaa zao.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
Hivyo makala Matukio ya Picha Kisiwani Pemba leo.
yaani makala yote Matukio ya Picha Kisiwani Pemba leo. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Matukio ya Picha Kisiwani Pemba leo. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/matukio-ya-picha-kisiwani-pemba-leo.html
0 Response to "Matukio ya Picha Kisiwani Pemba leo."
Post a Comment