title : MAKAMU WA RAIS AHANI MSIBA WA KANDORO
kiungo : MAKAMU WA RAIS AHANI MSIBA WA KANDORO
MAKAMU WA RAIS AHANI MSIBA WA KANDORO
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu cha kumbukumbu ya maombelezo ya Marehemu Abbas Kandoro aliyefariki jana kwenye Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimpa pole mke wa Marehemu Abbas Kandoro, Mariam Kandoro nyumbani kwa marehemu Mbweni jijini Dar es salaam.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Hivyo makala MAKAMU WA RAIS AHANI MSIBA WA KANDORO
yaani makala yote MAKAMU WA RAIS AHANI MSIBA WA KANDORO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS AHANI MSIBA WA KANDORO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/makamu-wa-rais-ahani-msiba-wa-kandoro.html
0 Response to "MAKAMU WA RAIS AHANI MSIBA WA KANDORO"
Post a Comment