title : Baada ya Arusha, Sheikh Shariff Majini kuendelea na mikutano yake mkoani morogoro
kiungo : Baada ya Arusha, Sheikh Shariff Majini kuendelea na mikutano yake mkoani morogoro
Baada ya Arusha, Sheikh Shariff Majini kuendelea na mikutano yake mkoani morogoro
Sheikh Shariff Majini baada ya kumaliza ziara ya mkoa wa Arusha wikiendi hii. Tarehe 10 na 11 Juni anataraji kufanya mikutano kwa siku hizo mbili Mkoani Tanga. Maandalizi yote yamekwisha kukamilika na mikutano itafanyikia katika ukumbi wa Makorora Community Centre.
Baada ya kumaliza mkutano Sheikh Shariff Majini atakuwa Tanga kwa siku mbili zaidi ili kusikiliza shida za watu mbalimbali ambao watakaokosa kuhudhuria mkutano. Baada ya Tanga Sheikh Shariff anataraji kwenda Morogoro.
Hivyo makala Baada ya Arusha, Sheikh Shariff Majini kuendelea na mikutano yake mkoani morogoro
yaani makala yote Baada ya Arusha, Sheikh Shariff Majini kuendelea na mikutano yake mkoani morogoro Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Baada ya Arusha, Sheikh Shariff Majini kuendelea na mikutano yake mkoani morogoro mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/baada-ya-arusha-sheikh-shariff-majini.html
0 Response to "Baada ya Arusha, Sheikh Shariff Majini kuendelea na mikutano yake mkoani morogoro"
Post a Comment