title : MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI MJINI DODOMA LEO 5, APRILI 2018
kiungo : MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI MJINI DODOMA LEO 5, APRILI 2018
MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI MJINI DODOMA LEO 5, APRILI 2018
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson akiongoza Mkutano wa Kumi na Moja wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Leo Mjini Dodoma.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba akijibu hoja mbalimbali za wabunge wakati wa Mkutano wa Kumi na Moja wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Leo Mjini Dodoma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo (Chini kushoto) akiteta jambo na Mbunge wa Urambo Mhe. Margaret Sitta (Chini Kulia) na Juu Kulia ni Naibu Waziri Wizara ya Viwanda, Biashara ba Uwekezaji Mhe. Mhandisi Stella Manyanya akimueleza jambo Mbunge wa Mbozi Mhe. Pascal Haonga wakati wa Mkutano wa Kumi na Moja wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Leo Mjini Dodoma.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akimueleza jambo Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Mkuchika.
PICHA NA MAELEZO
Hivyo makala MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI MJINI DODOMA LEO 5, APRILI 2018
yaani makala yote MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI MJINI DODOMA LEO 5, APRILI 2018 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI MJINI DODOMA LEO 5, APRILI 2018 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/matukio-katika-picha-bungeni-mjini.html
0 Response to "MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI MJINI DODOMA LEO 5, APRILI 2018"
Post a Comment