WAZIRI UMMY AFANYA KIKAO NA GLOBAL FUND

WAZIRI UMMY AFANYA KIKAO NA GLOBAL FUND - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI UMMY AFANYA KIKAO NA GLOBAL FUND, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI UMMY AFANYA KIKAO NA GLOBAL FUND
kiungo : WAZIRI UMMY AFANYA KIKAO NA GLOBAL FUND

soma pia


WAZIRI UMMY AFANYA KIKAO NA GLOBAL FUND

Mfuko wa Pamoja wa Dunia wa kushughulikia magonjwa ya TB,Maralia na Ukimwi (GLOBAL FUND) umeridhishwa kwa kiasi kikubwa na Jinsi Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Afya katika kupambana na magonjwa hayo.
Pamoja na hayo Wawakilishi wa Mfuko huo hapa Nchini wamesema kuwa kutokana na mwenendo mzuri wa Tanzania katika kutumia viozuri Mfuko huo sasa wanaweza kuanzisha kitu kingine kizuri kwa ajili ya kuboresha sekta ya afya na kupeleka mapendekezo na kukubaliwa.
Malengo ya kikao hiko kikao kati ya Mfuko wa Pamoja wa Dunia wa kushughulikia magonjwa ya TB,Maralia na Ukimwi (GLOBAL FUND) na Wizara ya Afya ni kujadili ,kupanga na kuboresha Sekta ya Afya nchini.
 Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akizungumza wakati wa kikao na wawakilishi wa Mfuko wa Pamoja wa Dunia wa kushughulikia magonjwa ya TB,Maralia na Ukimwi(GLOBAL FUND)  hawapo pichani kilichofanyika katika Ofisi ndogo ya Wizara jijini Dar es salaam.
 Mkurugenzi wa Mfuko wa Pamoja wa Dunia wa kushughulikia magonjwa ya TB,Maralia na Ukimwi (GLOBAL FUND)  hapa nchini Dkt. Sai Kumar kulia akimueleza jambo Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu wakati wa kikao cha kujadili mambo mbalimbali ya afya kilichofanyika katika Ofisi ndogo ya Wizara jijini Dar es salaam.
 Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu kulia  akizungumza na Naibu Waziri wake Dkt. Faustine Ndugulile kushoto wakati wa kikao na wawakilishi wa Mfuko wa Pamoja wa Dunia wa kushughulikia magonjwa ya TB,Maralia na Ukimwi (GLOBAL FUND)  hawapo pichani kilichofanyika katika Ofisi ndogo ya Wizara jijini Dar es salaam.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu katikati akizungumza wakati wa kikao na wawakilishi wa Mfuko wa Pamoja wa Dunia wa kushughulikia magonjwa ya TB,Maralia na Ukimwi (GLOBAL FUND) kilichofanyika katika Ofisi ndogo ya Wizara jijini Dar es salaam. Kulia ni Naibu Waziri wa Afya Dkt. Faustine Ndugulile.
PICHA NA WIZARA YA AFYA.


Hivyo makala WAZIRI UMMY AFANYA KIKAO NA GLOBAL FUND

yaani makala yote WAZIRI UMMY AFANYA KIKAO NA GLOBAL FUND Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI UMMY AFANYA KIKAO NA GLOBAL FUND mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/waziri-ummy-afanya-kikao-na-global-fund.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WAZIRI UMMY AFANYA KIKAO NA GLOBAL FUND"

Post a Comment