title : Tanzania yashiriki Mkutano wa kujadili matumizi ya Bahari na rasilimali zake
kiungo : Tanzania yashiriki Mkutano wa kujadili matumizi ya Bahari na rasilimali zake
Tanzania yashiriki Mkutano wa kujadili matumizi ya Bahari na rasilimali zake
Ujumbe wa Tanzania unaoongozwa Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mhe. Charles Tizeba ukiwa kwenye mkutano wa utekelezaji wa Malengo ya Maendeleo Endelevu Na. 14 (Sustainable Development Goals-SDGs14) maarufu kama Oceans Conference unaojadili matumizi endelevu ya bahari na rasilimali zilizomo baharini, unaoendelea Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa New York, Marekan.
Waziri wa Kilimo, Nifugo na Uvuvi, Mhe. Charles Tizeba akiwasilisha hotuba kwa niaba ya Serikali ya Tanzania kwenye Mkutano wa Kimataifa wa kuweka mikakati ya utekelezaji wa SDG14 unaoendelea Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa New York, Marekan. Mkutano huo ni maalum kwa ajili ya kujadili kuhusu matumizi endelevu ya bahari na rasilimali zilizomo baharini kama sehemu ya utekelezaji wa lengo la 14 la malengo ya maendeleo endelevu.
Hivyo makala Tanzania yashiriki Mkutano wa kujadili matumizi ya Bahari na rasilimali zake
yaani makala yote Tanzania yashiriki Mkutano wa kujadili matumizi ya Bahari na rasilimali zake Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Tanzania yashiriki Mkutano wa kujadili matumizi ya Bahari na rasilimali zake mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/tanzania-yashiriki-mkutano-wa-kujadili.html
0 Response to "Tanzania yashiriki Mkutano wa kujadili matumizi ya Bahari na rasilimali zake"
Post a Comment