title : MABINTI WATAKIWA KUTUMIA MITANDAO YA KIJAMII KWA AJILI YA MANUFAA YA BAADAE
kiungo : MABINTI WATAKIWA KUTUMIA MITANDAO YA KIJAMII KWA AJILI YA MANUFAA YA BAADAE
MABINTI WATAKIWA KUTUMIA MITANDAO YA KIJAMII KWA AJILI YA MANUFAA YA BAADAE
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu , Dkt Ave Maria Semakafu akizungumza wakati wa ufunguzi wa maadhimisho ya siku ya Tehama kwa watoto wa kike Duniani ambapo alitumia muda huo kuwaasa mabinti kutumia vizuri mitandao ya kijamii kwa ajili ya manufaa yao ya baadae na kuacha kutumia kwa matumizi ambayo yatawagharimu kwani picha katika mitandao hazifutiki.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano nchini (TCRA), Dkt Raynold Mfungahema akizungumza kabla ya kumkaribisha Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu katika Maadhimisho ya siku ya Tehama kwa Mtoto wa kike Duniani.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Dkt. Ave Maria Semakafu, akipata maelezo juu ya Teknolojia ya Ununuzi wa pedi mtaani kwa shilingi 200 au katika shule za sekondari hili kuweza kumsaidia mtoto wa kike.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Dkt. Ave Maria Semakafu akipata maelezo kutoka kwa Mhandisi wa Masafa kutoka TCRA,Mhandisi Stella Bunyenza ni nmana gani gari hiyo inawez akufatilia masafa mbalimbali.
Sehemu ya Wadau walioshiriki katika Maadhimisho ya siku ya Tehama kwa Mtoto wa kike Duniani.
Hivyo makala MABINTI WATAKIWA KUTUMIA MITANDAO YA KIJAMII KWA AJILI YA MANUFAA YA BAADAE
yaani makala yote MABINTI WATAKIWA KUTUMIA MITANDAO YA KIJAMII KWA AJILI YA MANUFAA YA BAADAE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MABINTI WATAKIWA KUTUMIA MITANDAO YA KIJAMII KWA AJILI YA MANUFAA YA BAADAE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/mabinti-watakiwa-kutumia-mitandao-ya.html
0 Response to "MABINTI WATAKIWA KUTUMIA MITANDAO YA KIJAMII KWA AJILI YA MANUFAA YA BAADAE"
Post a Comment