MPANGO WA UPIMAJI NA UPANGAJI WA MAKAZI RASMI KATA YA MSIGANI - MBEZI WILAYA YA UBUNGO WAZINDULIWA

MPANGO WA UPIMAJI NA UPANGAJI WA MAKAZI RASMI KATA YA MSIGANI - MBEZI WILAYA YA UBUNGO WAZINDULIWA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MPANGO WA UPIMAJI NA UPANGAJI WA MAKAZI RASMI KATA YA MSIGANI - MBEZI WILAYA YA UBUNGO WAZINDULIWA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MPANGO WA UPIMAJI NA UPANGAJI WA MAKAZI RASMI KATA YA MSIGANI - MBEZI WILAYA YA UBUNGO WAZINDULIWA
kiungo : MPANGO WA UPIMAJI NA UPANGAJI WA MAKAZI RASMI KATA YA MSIGANI - MBEZI WILAYA YA UBUNGO WAZINDULIWA

soma pia


MPANGO WA UPIMAJI NA UPANGAJI WA MAKAZI RASMI KATA YA MSIGANI - MBEZI WILAYA YA UBUNGO WAZINDULIWA


Mwenyekiti wa kampuni ya Upimaji na Upangaji wa Makazi (HUSEA), Renny Chiwa akitoa maelezo machache juu ya mradi wa 'Ardhi Clinic' katika uzinduzi wa uliofanyika Kata ya Msigani-Mbezi wilaya ya Ubungo jijini Dar es Salaam. Bw. Chiwa alisema kuwa lengo la mradi huo ni kusaidia juhudi za serikali za kupanga, kupima na kumilikisha kila kipande cha ardhi nchini nzima na pia kuboresha maisha ya mamilioni ya watanzania kupitia ushauri na utoaji elimu kwa wananchi katika masuala yote ya ardhu kwa nia ya kutengeneza makazi bora yaliyopangwa na kupimwa kwa ajili ya kizazi cha sasa na baadae.
Mkurugenzi wa kampuni ya Upimaji na Upangaji wa Makazi (HUSEA), Pamela Maro akiwafafanua machache mbele ya waandishi wa habari juu ya Mradi wa 'Ardhi Clinic' katika uzinduzi uliofanyika katika Kata ya Msigani, Mbezi jijini Dar es Salaam. Alisema kuwa malengo makuu ya mradi wa 'Ardhi Clinic' ni tiba mbadala kwa changamoto mbali mbali za masuala ya ardhi baada ya kugundua kuwa changamoto nyingi zinatokana na masuala ua ardhi hapa Tanzania kama migogoro ya wafugaji na wakulima, wananchi kuuziwa maeneo ya wazi, utapelikwenye masuala ya ardhi, uendelezaji wa makazi usiofuata mipango, ukosefu wa maadili katika taaluma za upangaji na upimaji, ukosefu wa hati miliki, ukosefu wa huduma za jamii n.k hazina tofauti na magonjwa ambayo wanahitaji tiba haraka kuyakabili.
Wananchi wakiendelea kupata elimu ya ardhi. 
Vifaa vya kisasa vinavyotumika katika upimaji wa ardhi. 



Hivyo makala MPANGO WA UPIMAJI NA UPANGAJI WA MAKAZI RASMI KATA YA MSIGANI - MBEZI WILAYA YA UBUNGO WAZINDULIWA

yaani makala yote MPANGO WA UPIMAJI NA UPANGAJI WA MAKAZI RASMI KATA YA MSIGANI - MBEZI WILAYA YA UBUNGO WAZINDULIWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MPANGO WA UPIMAJI NA UPANGAJI WA MAKAZI RASMI KATA YA MSIGANI - MBEZI WILAYA YA UBUNGO WAZINDULIWA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/mpango-wa-upimaji-na-upangaji-wa-makazi.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MPANGO WA UPIMAJI NA UPANGAJI WA MAKAZI RASMI KATA YA MSIGANI - MBEZI WILAYA YA UBUNGO WAZINDULIWA"

Post a Comment