NDOTO YA MWALIMU YATIMIA, LUGHA YA KISWAHILI LULU YA AFRIKA

NDOTO YA MWALIMU YATIMIA, LUGHA YA KISWAHILI LULU YA AFRIKA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NDOTO YA MWALIMU YATIMIA, LUGHA YA KISWAHILI LULU YA AFRIKA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NDOTO YA MWALIMU YATIMIA, LUGHA YA KISWAHILI LULU YA AFRIKA
kiungo : NDOTO YA MWALIMU YATIMIA, LUGHA YA KISWAHILI LULU YA AFRIKA

soma pia


NDOTO YA MWALIMU YATIMIA, LUGHA YA KISWAHILI LULU YA AFRIKA

Na Judith Mhina - MAELEZO

Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni muasisi aliyeenzi lugha adhimu na tamu ya Kiswahili na anastahili tuzo maalum kwa kutambua umuhimu wa lugha  hiyo katika kuleta umoja, mshikamano, na maendeleo barani Afrika.

Mwalimu kwa kutambua umuhimu wa lugha ya Kiswahili, alianza kuweka mfumo wa matumizi ya lugha hiyo katika utendaji wa serikali, jamii nzima ya Tanzania na Umoja wa Afrika. Aidha, sera za Tanzania za kushiriki katika kupigania Uhuru wa nchi kadhaa za Afrika na uwepo wa wakimbizi nchini kwa idadi kubwa imewezesha lugha hii kuvuka mipaka na kuenea kote kusini mwa Afrika.

Mwalimu amepata wapiganaji mahiri wa lugha ya Kiswahili ambao wapo wengi, lakini kwa uchache makala yangu itaangazia viongozi yaani, Rais mstaafu wa Awamu ya Pili, Mzee Ali Hassan Mwinyi, na Rais mstaafu wa Msumbiji Joachim Chissano, Marais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni, Rwanda, Paul Kagame, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Joseph Kabila na Jemedari wa kuenzi lugha ya Kiswahili anayeifanya lugha hii kuwa Lulu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli. 

Mtakubaliana nami mchango wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi katika kutumia lugha ya Kiswahili fasaha, katika shughuli zote za Serikali na za kijamii zilisukuma mwamko wa gurudumu la kiswahili kusonga mbele haswa kwa wale wanaodhani lugha za kigeni ni bora kuliko lugha yao.



Hivyo makala NDOTO YA MWALIMU YATIMIA, LUGHA YA KISWAHILI LULU YA AFRIKA

yaani makala yote NDOTO YA MWALIMU YATIMIA, LUGHA YA KISWAHILI LULU YA AFRIKA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NDOTO YA MWALIMU YATIMIA, LUGHA YA KISWAHILI LULU YA AFRIKA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/ndoto-ya-mwalimu-yatimia-lugha-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "NDOTO YA MWALIMU YATIMIA, LUGHA YA KISWAHILI LULU YA AFRIKA"

Post a Comment