McGregor Amlaumu Refa Kumaliza Pambano Mapema ‘Angeacha Hadi mwisho’

McGregor Amlaumu Refa Kumaliza Pambano Mapema ‘Angeacha Hadi mwisho’ - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa McGregor Amlaumu Refa Kumaliza Pambano Mapema ‘Angeacha Hadi mwisho’, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : McGregor Amlaumu Refa Kumaliza Pambano Mapema ‘Angeacha Hadi mwisho’
kiungo : McGregor Amlaumu Refa Kumaliza Pambano Mapema ‘Angeacha Hadi mwisho’

soma pia


McGregor Amlaumu Refa Kumaliza Pambano Mapema ‘Angeacha Hadi mwisho’

Baada ya kupokea kichapo leo asubuhi Mwanamasumbwi, Conor McGregor amedai kuwa refa aliyechezesha pambano hilo, Robert Byrd alifanya makosa kusimamisha mchezo huo dhidi ya Floyd Mayweather katika raundi ya kumi.


Bingwa huyo wa UFC alipigwa katika pambano lake la kwanza la kulipwa huku Floyd Mayweather akiimarisha rekodi yake ya kutopoteza pambano lolote kwa michezo 50 aliyocheza.

‘‘Niliona pambano tangia mwanzo tulikuwa sawa ingawaje niliyumba kidogo mwishoni kwani nilianza kuchoka, madhani Refa angeacha pambano liendelee na kumruhusu Mayweather kuniangusha, nilikuwa najua nilichokuwa nikifanya raundi mbili za mwisho nilitaka nione kama anaweza kuniangusha, Nilidhani ilikuwa mapema mno kwa refa kusimamisha pambano, Nilitaka kuendelea hadi raundi ya mwisho”,amesema McGregor kwenye mkutano na waandishi wa habari mapema baada ya kumalizika kwa pambano.

Hata hivyo, McGregor amesema atarudi kuendelea na mchezo wake wa UFC akikiri wazi kuwa mchezo wa Boxing ni mgumu.


Hivyo makala McGregor Amlaumu Refa Kumaliza Pambano Mapema ‘Angeacha Hadi mwisho’

yaani makala yote McGregor Amlaumu Refa Kumaliza Pambano Mapema ‘Angeacha Hadi mwisho’ Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala McGregor Amlaumu Refa Kumaliza Pambano Mapema ‘Angeacha Hadi mwisho’ mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/mcgregor-amlaumu-refa-kumaliza-pambano.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "McGregor Amlaumu Refa Kumaliza Pambano Mapema ‘Angeacha Hadi mwisho’"

Post a Comment