title : KONGAMANO LA TANZANIA YA VIWANDA LAFANA MKOANI IRINGA
kiungo : KONGAMANO LA TANZANIA YA VIWANDA LAFANA MKOANI IRINGA
KONGAMANO LA TANZANIA YA VIWANDA LAFANA MKOANI IRINGA
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista na Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe.Charles Mwijage wakiimba wimbo wa Umoja na Mshikamano wakati wa Kongamano la Tanzania ya Viwanda lililohusu maandalizi ya Sherehe za Mei Mosi Mkoani Iringa.
Baadhi ya wajumbe wa Kongamano la Tanzania ya Viwanda wakati wa maandalizi ya kuifikia Siku ya Mei Mosi wakiimba wimbo wa umoja na mshikamano, Mkoani Iringa.
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe.Charles Mwijage akiongea umuhimu wa kuwa na Tanzania ya Viwanda wakati wa Kongamano la maandalizi ya Mei Mosi lililofanyika mkoani Iringa Aprili 27, 2018.
Baadhi ya wajume wakifuatilia Kongamano la maandalizi ya Sherehe za Mei Mosi walipokutana kujadili masuala ya Tanzania ya Viwanda Aprili 27, 2018.
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala KONGAMANO LA TANZANIA YA VIWANDA LAFANA MKOANI IRINGA
yaani makala yote KONGAMANO LA TANZANIA YA VIWANDA LAFANA MKOANI IRINGA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KONGAMANO LA TANZANIA YA VIWANDA LAFANA MKOANI IRINGA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/kongamano-la-tanzania-ya-viwanda-lafana.html
0 Response to "KONGAMANO LA TANZANIA YA VIWANDA LAFANA MKOANI IRINGA"
Post a Comment