MKUTANO WA MAWAZIRI WA SEKTA MALIASILI,MAZINGIRA WA JUMUIYA AFRIKA YA MASHARIKI WAFANYIKA LEO JIJINI ARUSHA

MKUTANO WA MAWAZIRI WA SEKTA MALIASILI,MAZINGIRA WA JUMUIYA AFRIKA YA MASHARIKI WAFANYIKA LEO JIJINI ARUSHA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MKUTANO WA MAWAZIRI WA SEKTA MALIASILI,MAZINGIRA WA JUMUIYA AFRIKA YA MASHARIKI WAFANYIKA LEO JIJINI ARUSHA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MKUTANO WA MAWAZIRI WA SEKTA MALIASILI,MAZINGIRA WA JUMUIYA AFRIKA YA MASHARIKI WAFANYIKA LEO JIJINI ARUSHA
kiungo : MKUTANO WA MAWAZIRI WA SEKTA MALIASILI,MAZINGIRA WA JUMUIYA AFRIKA YA MASHARIKI WAFANYIKA LEO JIJINI ARUSHA

soma pia


MKUTANO WA MAWAZIRI WA SEKTA MALIASILI,MAZINGIRA WA JUMUIYA AFRIKA YA MASHARIKI WAFANYIKA LEO JIJINI ARUSHA

 Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla (kushoto) akiteta jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, January Makamba wakati wa mkutano wa tano wa Baraza la Kisekta la Mawaziri wa Maliasili na Mazingira wa Nchi za Jumuiya ya Afrika ya Mashariki uliohitimishwa leo katika ukumbi wa EAC jijini Arusha. Mkutano huo ulilenga kujadili na kusaini makubaliano mbalimbali ya namna bora ya kusimamia sekta hizo katika nchi wanachama. 
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, January Makamba (kulia) akisaini baadhi ya makubaliano yaliyofikiwa katika mkutano wa tano wa Baraza la Kisekta la Mawaziri wa Maliasili na Mazingira wa Nchi za Jumuiya ya Afrika ya Mashariki uliohitimishwa leo katika ukumbi wa EAC jijini Arusha. Mkutano huo ulilenga kujadili na kusaini makubaliano mbalimbali ya namna bora ya kusimamia sekta hizo katika nchi wanachama. Wanaoshuhudia ni Mawaziri wa Mazingira kutoka Uganda na Kenya.
 Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla (kulia), Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, January Makamba (wa pili kulia) na Balozi wa Sweden nchini Tanzania, Bi. Katerina Rangnitt wakiangalia baadhi ya michoro ya katuni za kuhamasisha uhifadhi wa mazingira muda mfupi baada mkutano wa tano wa Baraza la Kisekta la Mawaziri wa Maliasili na Mazingira wa Nchi za Jumuiya ya Afrika ya Mashariki uliohitimishwa leo katika ukumbi wa EAC jijini Arusha. Mradi huo ya katuni unafadhiliwa na Serikali ya Sweden kwa ushirikiano na Serikali ya Tanzania.
 Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla (kulia) na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, January Makamba wakimsikiliza mmoja ya wachora katuni za kuhamasisha uhifadhi wa mazingira muda mfupi baada mkutano wa tano wa Baraza la Kisekta la Mawaziri wa Maliasili na Mazingira wa Nchi za Jumuiya ya Afrika ya Mashariki uliohitimishwa leo katika ukumbi wa EAC jijini Arusha. Mkutano huo ulilenga kujadili na kusaini makubaliano mbalimbali ya namna bora ya kusimamia sekta hizo katika nchi wanachama. 
 Picha ya pamoja ya baadhi ya wajumbe wa mkutano huo.(PICHA ZOTE NA HAMZA TEMBA-WMU)


Hivyo makala MKUTANO WA MAWAZIRI WA SEKTA MALIASILI,MAZINGIRA WA JUMUIYA AFRIKA YA MASHARIKI WAFANYIKA LEO JIJINI ARUSHA

yaani makala yote MKUTANO WA MAWAZIRI WA SEKTA MALIASILI,MAZINGIRA WA JUMUIYA AFRIKA YA MASHARIKI WAFANYIKA LEO JIJINI ARUSHA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MKUTANO WA MAWAZIRI WA SEKTA MALIASILI,MAZINGIRA WA JUMUIYA AFRIKA YA MASHARIKI WAFANYIKA LEO JIJINI ARUSHA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/mkutano-wa-mawaziri-wa-sekta.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MKUTANO WA MAWAZIRI WA SEKTA MALIASILI,MAZINGIRA WA JUMUIYA AFRIKA YA MASHARIKI WAFANYIKA LEO JIJINI ARUSHA"

Post a Comment