title : Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar
kiungo : Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar
Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwenyekiti wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Prof Mark J.Mwandosya wakati alipofika kuzindua Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mzee Abeid Karume lililofanyika leo katika Ukumbi wa Kampasi ya Chuo Bububu Wilaya ya Magharibi "A" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,[Picha na Ikulu] 05/04/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali alipowasili katika viwanja vya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere alipofika kuzindua Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mzee Abeid Karume lililofanyika leo katika Ukumbi wa Kampasi ya Chuo Bububu Wilaya ya Magharibi "A" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,[Picha na Ikulu] 05/04/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwapungia mkono waalikwa alipofika kuzindua Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mzee Abeid Karume lililofanyika leo katika Ukumbi wa Kampasi ya Chuo
cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere
Bububu Wilaya ya Mmagharibi "A" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,(kushoto) Mkuu wa Mkoa Mjini Mahgaribi Mhe,Ayoub Mohamed Mahmoud,[Picha na Ikulu] 05/04/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) Mwenyekiti wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Prof Mark J.Mwandosya(wa pili kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais Mhe,Mohamed Aboud Mohammed (wa pili kulia) Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe,Ayoub Mohamed Mahmoud (kulia) na Mkuu wa Zanzibar,wakisimama wakati wa uzinduzi wa
Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mzee Abeid Karume lililofanyika leo katika Ukumbi wa Kampasi ya Chuo
cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere
Bububu [Picha na Ikulu] 05/04/2018.
Viongozi walioshiriki katika Uzinduzi wa
Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mzee Abeid Karume lililofanyika leo katika Ukumbi wa Kampasi ya Chuo
cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere
Bububu[Picha na Ikulu] 05/04/2018.
Hivyo makala Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar
yaani makala yote Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/kongamano-la-maadhimisho-ya-kumbukumbu.html
0 Response to "Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar"
Post a Comment