title : ESTER BULAYA NAYE AITWA POLISI DAR
kiungo : ESTER BULAYA NAYE AITWA POLISI DAR
ESTER BULAYA NAYE AITWA POLISI DAR
Mbunge wa Bunda Mjini kupitia CHADEMA Ester Amos Bulaya, ameitwa kituo cha polisi cha kati jijini Dar es salaam huku akiwa hana taarifa za sababu ya wito huo
Ester Bulaya amesema amepata taarifa za kuitwa kwake polisi kutoka kwa mwanasheria wake na hivi sasa yuko njiani kuelekea kituoni hapo, ingawa hajui kitakachomkuta huko.
“Ni kweli nimepata taarifa kutoka kwa mwanasheria wangu, naitwa kituo cha Polisi na sasa hivi ndio nalekea huko central, sababu za wito huo sijui lakini huenda ikawa kama ya wenzangu kina Mdee”, amesema Ester Bulaya
Hivi karibuni kumekuwa na matukio ya kuwakamata viongozi na wabunge wa CHADEMA na kuwafungulia mashtaka, ambayo baadhi yao wengine wameshapandishwa mahakamani, kwa mashtaka ya kufanya maandamano bila kibali na kusababisha vurugu
Hivyo makala ESTER BULAYA NAYE AITWA POLISI DAR
yaani makala yote ESTER BULAYA NAYE AITWA POLISI DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala ESTER BULAYA NAYE AITWA POLISI DAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/ester-bulaya-naye-aitwa-polisi-dar.html
0 Response to "ESTER BULAYA NAYE AITWA POLISI DAR"
Post a Comment