title : TAARIFA YA KIFO CHA MWAJUMA GAMBO KILICHOTOKEA JIJINI DAR
kiungo : TAARIFA YA KIFO CHA MWAJUMA GAMBO KILICHOTOKEA JIJINI DAR
TAARIFA YA KIFO CHA MWAJUMA GAMBO KILICHOTOKEA JIJINI DAR
Kwa masikitiko makubwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo anatangaza kifo Cha Dada yake mpendwa Bi Mwajuma Gambo kilichotokea Jana tarehe 04/10/2018 kwenye Hospital ya Muhimbili jijini Dar Es Salaam.
Mazishi yanatarajiwa kufanyika siku ya Jumamosi (kesho) tarehe 06/10/2018 Saa 6 Mchana kwenye makaburi ya MCHIKICHINI Ilala Dar Es Salaam.
Msiba upo nyumbani kwao Kariakoo mtaa wa Mheza Karibu na Shule ya Sekondari ya Benjamini Mkapa.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi-AMEN
Bi Mwajuma Gambo enzi za uhai wake.
Hivyo makala TAARIFA YA KIFO CHA MWAJUMA GAMBO KILICHOTOKEA JIJINI DAR
yaani makala yote TAARIFA YA KIFO CHA MWAJUMA GAMBO KILICHOTOKEA JIJINI DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TAARIFA YA KIFO CHA MWAJUMA GAMBO KILICHOTOKEA JIJINI DAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/taarifa-ya-kifo-cha-mwajuma-gambo.html
0 Response to "TAARIFA YA KIFO CHA MWAJUMA GAMBO KILICHOTOKEA JIJINI DAR"
Post a Comment