MAJAMBAZI SUGU WAWILI HATARI WANASWA MWANZA

MAJAMBAZI SUGU WAWILI HATARI WANASWA MWANZA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAJAMBAZI SUGU WAWILI HATARI WANASWA MWANZA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAJAMBAZI SUGU WAWILI HATARI WANASWA MWANZA
kiungo : MAJAMBAZI SUGU WAWILI HATARI WANASWA MWANZA

soma pia


MAJAMBAZI SUGU WAWILI HATARI WANASWA MWANZA

· Mmoja anaswa na bastola,risasi 42 na magazine mbili, fedha tasilimu sh. milioni 1.3 za hongo barabarani, simu tatu na kadi nane za mitandao tofauti. 
· Mwingine anaswa na Bendera ya Taifa, king’amuzi cha Startimes

NA BALTAZAR MASHAKA, MWANZA

MAJAMBAZI sugu wawili hatari wamenaswa na Jeshi la Polisi mkoani Mwanza waiwa na silaha na vitu mbalimbali baada ya kufanya uhalifu katika matukio mawili tofauti.

Majambazi hao Peter Thomas Nyanchiwa au Smart Boy mkazi wa jijini Dar Es Salaam, alikamatiwa eneo la Runzewe mkoani Geita huku Jackson Elias maarufu Longoko (20) mkazi wa Shamaliwa Igoma katika Wilaya ya Nyamagana jijini Mwanza akikamatwa Oktoba 3, majira ya saa 11:00 alfajiri akiwa nyumbani kwake.

Akizungumza na waandishi wa habari jana Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza (RPC) Kamishna Msaidizi (ACP) Jonathan Shanna alisema majambazi hao walikuwa wakiwatesa wananchi kutokana na uhalifu wa kutumia silaha wakiwavunjia nyumba na kuwapora mali na fedha .

Alisema tukio la kwanza jambazi Peter akiwa na wenzake wawili walikodisha gari hilo jijini Mwanza kutoka kwa mmiliki wake kwenda kuwachukua watalii wakidai wameharibikiwa gari lao katika mbuga ya wanyama Serengeti ili kuwawezesha kuendelea na safari ya kutalii kwenye mbuga hiyo.
Jambazi sugu Peter Thomas Nyanchiwa anayedaiwa kuiba gari na kumjeruhi dereva wa gari hilo kwa risasi akionyeshwa kwa waandishi wa habari na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza (RPC) ACP Jonathan Shanna (kushoto). Picha na Baltazar Mashaka.

Mtuhumiwa wa Ujambazi Jackson Elias akitambulishwa wkwa waandishi habari jana baada ya kutiwa mbaroni na polisi kuhusiana na tukio la uhalifu.Kushoto ni Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mwanza (RPC) Kamishna Msaidizi wa polis (ACP) Jonathan Shanna. wengine ni maofisa na askari wa jeshi hilo. 
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza (RPC) Jonathan Shanna akiwasomea waandishi wa habari majina ya hati ya kusafiria ya mtuhumiwa wa ujambazi Peter Thomas Nyachiwa.

Kamanda Jonathan Shanna akiwaonyesha wana habari gari T 122 DLY lilioibwa na majambazi kabla ya kukamatwa huko Runzewe mkoani Geita. 




Hivyo makala MAJAMBAZI SUGU WAWILI HATARI WANASWA MWANZA

yaani makala yote MAJAMBAZI SUGU WAWILI HATARI WANASWA MWANZA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAJAMBAZI SUGU WAWILI HATARI WANASWA MWANZA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/majambazi-sugu-wawili-hatari-wanaswa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAJAMBAZI SUGU WAWILI HATARI WANASWA MWANZA"

Post a Comment