WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA MAREKANI ATENGULIWA

WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA MAREKANI ATENGULIWA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA MAREKANI ATENGULIWA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA MAREKANI ATENGULIWA
kiungo : WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA MAREKANI ATENGULIWA

soma pia


WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA MAREKANI ATENGULIWA

Aliye kuwa Waziri wa Mambo ya Nje nchini Marekani Tillerson Rex 

Na Ripota Wetu
RAIS  wa Marekani Donald Trump amemfuta kazi Waziri wa Mambo ya Nje nchini humo Tillerson Rex na nafasi yake kuchukuliwa na Mike Pompeo.

Kupitia ukurasa wake wake Twitter Trump amesema Waziri Mteule wa Mambo ya Nje atafanya kazi nzuri na Tillerson hajui sababu ya yeye kuondolewa katika nafasi hiyo licha ya vyombo mbalimbali kuripoti kuwa ni sababu binafsi baina yake na Rais huyo.

Ikumbukwe tangu Trump aingie madarakani viongozi wengi wameachia ngazi zao wakiwemo washauri na viongozi wa masuala ya ulinzi na usalama katika ikulu ya marekani.

Waziri mteule Mike pompeo kabla ya uteuzi huu alikua Mkurugenzi wa Shirika la ujasusi nchini Marekani na ifahamike kwamba uteuzi huu umekuja katika kipindi cha maandalizi ya mkutano baina ya Donald Trump na Rais wa korea kaskazini Kim Jong Un aliyeomba kukutana na Trump mapema Mei mwaka huu.


Hivyo makala WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA MAREKANI ATENGULIWA

yaani makala yote WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA MAREKANI ATENGULIWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA MAREKANI ATENGULIWA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/waziri-wa-mambo-ya-nje-wa-marekani.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA MAREKANI ATENGULIWA"

Post a Comment