title : WAZIRI MWAKYEMBE AFUNGUA MKUTANO WA 14 WA MAAFISA HABARI, MAWASILIANO NA UHUSIANO SERIKALINI
kiungo : WAZIRI MWAKYEMBE AFUNGUA MKUTANO WA 14 WA MAAFISA HABARI, MAWASILIANO NA UHUSIANO SERIKALINI
WAZIRI MWAKYEMBE AFUNGUA MKUTANO WA 14 WA MAAFISA HABARI, MAWASILIANO NA UHUSIANO SERIKALINI
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza na Maafisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano Serikalini wakati wa ufunguzi mkutano wa 14 wa kikao kazi cha Maafisa hao kilichoanza leo Jumatatu tarehe 12-16 Machi, 2018 Jijini Arusha.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Susan Mlawi akizungumza na Maafisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano Serikalini wakati wa ufunguzi mkutano wa 14 wa kikao kazi cha Maafisa hao kilichaonza leo Jumatatu tarehe 12-16 Machi,2018 Jijini Arusha.
Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa (UN) nchini, Alvaro Rodriguez akizungumza wakati wa ufunguzi wa Kikao Kazi cha Maafisa Habari na Mawasiliano Serikalini kilichaonza leo Jumatatu tarehe 12-16 Machi,2018 Jijini Arusha.
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Gabriel Daqqaro akuzungmza na Maafisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano Serikalini wakati wa ufunguzi mkutano wa 14 wa kikao kazi cha Maafisa hao kilichaonza leo Jumatatu tarehe 12-16 Machi,2018 Jijini Arusha.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akifurahia jambo na Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa (UN) nchini , Alvaro Rodriguez wakati wa ufunguzi wa mkutano wa 14 wa Maafisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano Serikalini kilichaonza leo Jumatatu tarehe 12-16 Machi,2018 Jijini Arusha..
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akiteta jambo na Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO), Elishilia Kaaya mara wakati wa ufunguzi wa mkutano wa 14 wa Maafisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano Serikalini kilichaonza leo Jumatatu tarehe 12-16 Machi,2018 Jijini Arusha.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akimkabidhi cheti cha shukrani ya udhamini wa mkutano wa 14 wa Maafisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano Serikalini, Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN), Dkt. Jimmy Yonas wakati wa kutoa vyeti kwa wadhamini wa kikao kazi hicho kilichaonza leo Jumatatu tarehe 12-16 Machi,2018 Jijini Arusha.
Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) Dkt Jimmy Yonas akizungumza jambo na aliyekuwa kuwa Katibu wa Hayati Baba wa Taifa, Mzee Kasoli wakati wa ufunguzi wa mkutano wa 14 wa Maafisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano Serikalini kilichaonza leo Jumatatu tarehe 12-16 Machi,2018 Jijini Arusha.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala WAZIRI MWAKYEMBE AFUNGUA MKUTANO WA 14 WA MAAFISA HABARI, MAWASILIANO NA UHUSIANO SERIKALINI
yaani makala yote WAZIRI MWAKYEMBE AFUNGUA MKUTANO WA 14 WA MAAFISA HABARI, MAWASILIANO NA UHUSIANO SERIKALINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MWAKYEMBE AFUNGUA MKUTANO WA 14 WA MAAFISA HABARI, MAWASILIANO NA UHUSIANO SERIKALINI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/waziri-mwakyembe-afungua-mkutano-wa-14.html
0 Response to "WAZIRI MWAKYEMBE AFUNGUA MKUTANO WA 14 WA MAAFISA HABARI, MAWASILIANO NA UHUSIANO SERIKALINI"
Post a Comment