Uongozi wa Mkoa Rukwa wachangia Milioni 5.7 kumalizia Ujenzi wa Msikiti Sumbawanga

Uongozi wa Mkoa Rukwa wachangia Milioni 5.7 kumalizia Ujenzi wa Msikiti Sumbawanga - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Uongozi wa Mkoa Rukwa wachangia Milioni 5.7 kumalizia Ujenzi wa Msikiti Sumbawanga, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Uongozi wa Mkoa Rukwa wachangia Milioni 5.7 kumalizia Ujenzi wa Msikiti Sumbawanga
kiungo : Uongozi wa Mkoa Rukwa wachangia Milioni 5.7 kumalizia Ujenzi wa Msikiti Sumbawanga

soma pia


Uongozi wa Mkoa Rukwa wachangia Milioni 5.7 kumalizia Ujenzi wa Msikiti Sumbawanga

Uongozi wa Waislamu Mkoani Rukwa umepokea kwa furaha mchango wa Shilingi Milioni 5.7 uliotolewa na uongozi wa serikali ya Mkoa wa Rukwa ukiongozwa na Mkuu wa mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo katika kikao cha maridhiano juu ya ujenzi wa msikiti uliosimama kwa muda.

Fedha hizo zilizochangwa zilijumuisha ahadi, fedha taslimu pamoja na vifaa vya ujenzi vilivyotolewa kwa umoja wa viongozi wa serikali kuonesha mshikamano uliopo kati ya serikali na wananchi bilaya kujali itikadi, dini wala rangi huku Mh. Wangabo akichangia milioni 1.5

Kabla ya maridhiano hayo Mh. Wangabo alitoa salamu za rais Dk. John Pombe Magufuli juu ya kuuendeleza msikiti huo na kunukuu kuwa Mheshimiwa Rais ametoa kibali cha kuuendeleza msikiti hio na yupo tayari kuweka jiwe la msingi ama kuuzindua msikiti huo.

“Mh. Rais ameniagiza niseme yafuatayo kuwa ametoa kibali cha kuendelea kujenga msikiti huu ahdi umalizike, ameyafikiria mambo mengi sana mpaka kuja kufikia maamuzi haya, ili yalete muskabali wa maridhiano, ilete amani, ilete utulivu, mshikamano, maoelewano na umoja ili Rukwa yetu iweze kusonga mbele kama kitu kimoja., la pili alisema kuwa yupo tayari kuweka jiwe la msingi ama la kuzindua msikiti huu,”
 Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Mh. Joachim Wangabo akitoa salamu za Rais. Dk. John Pombe Magufuli juu ya waislamu kukubaliwa kuendelea na ujenzi wa Msikiti.
 Shekhe Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Rashid Akilimali akiwasihi waislamu wanedelee kumuunga mkono Rais Dk. John Pombe Magufuli na kumshukuru kwa kuwaruhusu kuendelea na ujenzi wa msikiti. 
 Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Mh. Joachim Wangabo (kulia) akiepeana Mikono na  Shekhe Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Rashid Akilimali baada ya maridhiano ya ujenzi wa Msikiti.
  Msikiti ulioruhusiwa kuendelea kujengwa.

HABARI ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala Uongozi wa Mkoa Rukwa wachangia Milioni 5.7 kumalizia Ujenzi wa Msikiti Sumbawanga

yaani makala yote Uongozi wa Mkoa Rukwa wachangia Milioni 5.7 kumalizia Ujenzi wa Msikiti Sumbawanga Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Uongozi wa Mkoa Rukwa wachangia Milioni 5.7 kumalizia Ujenzi wa Msikiti Sumbawanga mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/uongozi-wa-mkoa-rukwa-wachangia-milioni.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Uongozi wa Mkoa Rukwa wachangia Milioni 5.7 kumalizia Ujenzi wa Msikiti Sumbawanga"

Post a Comment