TRA: MAAFISA MAWASILIANO NINYI NI MABALOZI WA KUELIMISHA WANANCHI KUHUSU KODI

TRA: MAAFISA MAWASILIANO NINYI NI MABALOZI WA KUELIMISHA WANANCHI KUHUSU KODI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TRA: MAAFISA MAWASILIANO NINYI NI MABALOZI WA KUELIMISHA WANANCHI KUHUSU KODI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TRA: MAAFISA MAWASILIANO NINYI NI MABALOZI WA KUELIMISHA WANANCHI KUHUSU KODI
kiungo : TRA: MAAFISA MAWASILIANO NINYI NI MABALOZI WA KUELIMISHA WANANCHI KUHUSU KODI

soma pia


TRA: MAAFISA MAWASILIANO NINYI NI MABALOZI WA KUELIMISHA WANANCHI KUHUSU KODI

Na: Veronica Kazimoto
Maafisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano Serikalini wameombwa kuwa mabalozi wazuri katika sehemu zao za kazi na katika jamii wanayoishi kwa kuwaelimisha wananchi masuala mbalimbali yanayohusu kodi.

Akizungumza wakati akiwasilisha mada kuhusu Umuhimu wa Kodi kwenye Kikao Kazi cha Maafisa hao kinachoendelea  jijini Arusha , Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Richard Kayombo, alisema elimu ya kodi itawafikia watu wengi zaidi kwa kuwa maafisa hao wana ushirikiano mkubwa katika kutoa habari sahihi kwa umma.

"Kila mmoja wetu anachokifanya ni sauti kwa mwenzake mahali alipo, ndio maana hata katika mitandao mbalimbali tumekuwa tukisaidiana kwa kuwa, ukiona jambo baya linasemwa juu ya taasisi ya mwenzako au Serikali unamsaidia kutoa ufafanuzi, hivyo, mkielewa mada yangu hapa, najua mtanisaidia kuelimisha masuala ya kodi katika sehemu zenu za kazi na maeneo mengine", alisema Kayombo.

Kayombo alisema kuwa, maafisa hao wana nafasi kubwa katika kuelimisha jamii na kusahihisha baadhi ya wananchi ambao wanakuwa na elimu isiyo sahihi kuhusu masuala yanayohusu kodi na ukusanyaji wa mapato kwa ujumla. 

Aidha, pamoja na mambo mengine, Richard Kayombo aliwakumbusha Maafisa hao suala zima la kudai risiti kila wakati wanaponunua bidhaa ili kuchangia maendeleo ya nchi.
Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Richard Kayombo, akiwasilisha mada kuhusu Umuhimu wa Kodi kwenye Kikao Kazi cha Maafisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano Serikalini kinachoendelea jijini Arusha.  Kikao hicho kinatarajia kumalizika tarehe 16 Machi, mwaka huu. (Picha na Benedict Liwenga).

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala TRA: MAAFISA MAWASILIANO NINYI NI MABALOZI WA KUELIMISHA WANANCHI KUHUSU KODI

yaani makala yote TRA: MAAFISA MAWASILIANO NINYI NI MABALOZI WA KUELIMISHA WANANCHI KUHUSU KODI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TRA: MAAFISA MAWASILIANO NINYI NI MABALOZI WA KUELIMISHA WANANCHI KUHUSU KODI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/tra-maafisa-mawasiliano-ninyi-ni.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "TRA: MAAFISA MAWASILIANO NINYI NI MABALOZI WA KUELIMISHA WANANCHI KUHUSU KODI"

Post a Comment