Ulinzi Mkali Mkutano wa Rais Trump na Rais Kim: Uwezo wa walinzi 12 wa Kim Jong Un

Ulinzi Mkali Mkutano wa Rais Trump na Rais Kim: Uwezo wa walinzi 12 wa Kim Jong Un - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Ulinzi Mkali Mkutano wa Rais Trump na Rais Kim: Uwezo wa walinzi 12 wa Kim Jong Un, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Ulinzi Mkali Mkutano wa Rais Trump na Rais Kim: Uwezo wa walinzi 12 wa Kim Jong Un
kiungo : Ulinzi Mkali Mkutano wa Rais Trump na Rais Kim: Uwezo wa walinzi 12 wa Kim Jong Un

soma pia


Ulinzi Mkali Mkutano wa Rais Trump na Rais Kim: Uwezo wa walinzi 12 wa Kim Jong Un


Ulimwengu kwa mara nyengine ulipata fursa ya kuwatazama walinzi 12 wa rais wa Korea kaskazini Kim Jong Un wakikimbia wakati walipokuwa wakiulinda msafara wake nchini Singapore.
Lakini wana majukumu mengi kwa sababu linapojiri swala la usalama wa kiongozi huyo, taifa la Korea liko tayari kufanya chochote .
Mchanganuzi Michael Madden anaelezea zaidi kuhusu kundi hili la wanaume. Wakati anapokuwa Korea Kaskazini , mlinzi wa karibu wa Kim ana laini tatu tofauti zinazomzunguka.
Walinzi wanaokimbia kandokando ya gari lake aina ya Limousine na wale wanaotembea kwa mguu ni miongoni mwa maafisa wa afisi kwa jina Central Party Office #6, inayojulikana rasmi kuwa afisi ya wapiganaji.
Wao ndio wanaomlinda rais huyo na huchaguliwa kutoka katika jeshi la Korea. Huchaguliwa kutokana na vigezo vya , urefu-wanatakiwa kuwa na urefu sawa na kiongozi wao na wawe wanaweza kuona vizuri.
Wanatakiwa kuwa na uwezo kama vile kupiga risasi na kupigana judo, karate na masumbwi.Mwisho-mlinzi mmoja huchunguzwa familia yake na vizazI vyake vilivyopita .
Maafisa wengi wa wapiganaji hao wana uhusiano na familia ya Kim Jong Un ama familia kubwa za Korea Kaskazini.
Wanapokubalika kuwa walinzi { huwezi kukataa kazi hiyo} hufanyiwa mafunzo ya kiwango cha juu .Walinzi hao hufunzwa kuwa na ujuzi maalum.Hufunzwa kwa kutumia bunduki, mbinu za uvamizi, judo, karate , kung fu na taekwndo .
Walinzi hao humzunguka kiongozi hiyo wakimlinda na wanaweza kuona kwa kuzunguka digree 360 kuwatazama watu walio karibu naye na walipo.Wanaotembea , mbele yake ni kati ya walinzi watatu hadi watano akiwemo mkurugenzi wa agfisia hiyo ya wapiganaji.
Pamoja naye , ni walinzi wanne hadi sita , wawili ama watatu wakiwa upande wake wa kulia Kuna wengine wanne ama watano nyuma yake.Ili kuonyesha uwezo wao katika utawala huo, ndio raia pekee wanaokubaliwa kubeba bunduki zilizo na risasi karibu na kiongozi wa taifa lao, sana sana huwa bunduki zinazodaiwa kuwa automatic pamoja na silaha nyengine.


Hivyo makala Ulinzi Mkali Mkutano wa Rais Trump na Rais Kim: Uwezo wa walinzi 12 wa Kim Jong Un

yaani makala yote Ulinzi Mkali Mkutano wa Rais Trump na Rais Kim: Uwezo wa walinzi 12 wa Kim Jong Un Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Ulinzi Mkali Mkutano wa Rais Trump na Rais Kim: Uwezo wa walinzi 12 wa Kim Jong Un mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/ulinzi-mkali-mkutano-wa-rais-trump-na.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Ulinzi Mkali Mkutano wa Rais Trump na Rais Kim: Uwezo wa walinzi 12 wa Kim Jong Un"

Post a Comment