title : RC RUVUMA AZINDUA MRADI WA PANDA MITI KIBIASHARA
kiungo : RC RUVUMA AZINDUA MRADI WA PANDA MITI KIBIASHARA
RC RUVUMA AZINDUA MRADI WA PANDA MITI KIBIASHARA
Mkuu wa wa mkoa wa Ruvuma CHRISTINA MNDEME amezindua siku ya upandaji miti kimkoa katika halimashauri ya MBINGA,ambapo katika zoezi hilo zaidi ya miti laki mbili imepandwa wilayani humo aina ya paini inayokadiriwa kukomaa baada ya miaka saba Serikali kupitia mradi wa panda miti kibiashara imetenga shilingi milioni mia moja kwa wilaya ya Mbinga,Nyasa, Na Halimashauri Ya Madaba ,Huku wastani wa hekali moja mkulima anaweza kujipatia shilingi milioni ishirini, HABARI KAMILI HII HAPA VIDEO YAKE.
Hivyo makala RC RUVUMA AZINDUA MRADI WA PANDA MITI KIBIASHARA
yaani makala yote RC RUVUMA AZINDUA MRADI WA PANDA MITI KIBIASHARA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RC RUVUMA AZINDUA MRADI WA PANDA MITI KIBIASHARA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/rc-ruvuma-azindua-mradi-wa-panda-miti.html
0 Response to "RC RUVUMA AZINDUA MRADI WA PANDA MITI KIBIASHARA"
Post a Comment