MKAZI WA MOSHI KUTIMIZA NDOTO ZAKE BAADA YA KUSHINDA BAJAJI

MKAZI WA MOSHI KUTIMIZA NDOTO ZAKE BAADA YA KUSHINDA BAJAJI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MKAZI WA MOSHI KUTIMIZA NDOTO ZAKE BAADA YA KUSHINDA BAJAJI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MKAZI WA MOSHI KUTIMIZA NDOTO ZAKE BAADA YA KUSHINDA BAJAJI
kiungo : MKAZI WA MOSHI KUTIMIZA NDOTO ZAKE BAADA YA KUSHINDA BAJAJI

soma pia


MKAZI WA MOSHI KUTIMIZA NDOTO ZAKE BAADA YA KUSHINDA BAJAJI

Mkazi wa Moshi Ndugu Erasto Dismas Floridi (22) akabidhiwa bajaji yake mara baada ya kuibuku kuwa mmoja kati ya washindi wa promosheni ijulikanayo kama Jiongeze na Mpesa, Shinda na SportPesa inayoendesha na kampuni ya michezo ya mubashiri SportPesa wakishirikiana na kampuni ya mtandao wa simu za mkononi Vodacom PLC.

Najishughulisha na biashara ya duka kama unavyoona na watu wa kwanza juwapa taarifa juu ya ushindi wangu ni marafiki zangu, kusema ukweli hakuna aliyeamini juu ya ushindi wangu mimi mwenyewe sikuamini ila nikasema ngoja nione mwisho wa hichi kitu utakuwaje”

Sikuwahi kufikiria kama siku ntapata bajaji katika maisha yangu, hii ni zawadi kubwa kwangu na naimani itabadili maisha yangu kwa kiasi kikubwa kwa sababu ntaifanyia biashara na pesa ntakayoipata ntawekeza ili kuchukua mkopo na kufungua duka langu mwenyewe huku biashara yangu ikiwa inaendelea”
Mimi ni kaka wa familia na nina mdogo wangu ambaye namsomesha kwa sababu mama yetu ni mjane kupitia bajaji hii itakuwa imetusaidia sana kwenye kulipia vitu mbali mbali vya familia ikiwemo kumalizia nyumba yetu”.

Kwa upande wa SportPesa Meneja Uhusiano Bi. Sabrina Msuya alisema “Mpaka sasa mkoa wa Mwanza unaongoza kwa kupata washindi watatu huku mikoa mingine kama Dar es Salaam, Mbeya, Kilimanjaro, Nj’ombe, Mara, Musoma Songea na Sumbawanga ikiwa na mshindi mmoja mmoja”

“Pointi zetu za kuweka ubashiri wako ni nzuri kulinganisha na kampuni nyingine, endapo mteja wetu atashinda kwenye ubashiri wake pesa itaingizwa muda huo huo mara baada ya mechi kuisha, kitengo chetu cha huduma kwa wateja kinafanya kazi saa ishirini na siku saba za wiki ili kuhakikisha mteja wetu anapata huduma inayostahili sambamba na kuhakikisha inasikiliza na kutatua matatizo ya wateja wetu.”


Hivyo makala MKAZI WA MOSHI KUTIMIZA NDOTO ZAKE BAADA YA KUSHINDA BAJAJI

yaani makala yote MKAZI WA MOSHI KUTIMIZA NDOTO ZAKE BAADA YA KUSHINDA BAJAJI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MKAZI WA MOSHI KUTIMIZA NDOTO ZAKE BAADA YA KUSHINDA BAJAJI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/mkazi-wa-moshi-kutimiza-ndoto-zake.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MKAZI WA MOSHI KUTIMIZA NDOTO ZAKE BAADA YA KUSHINDA BAJAJI"

Post a Comment