title : MPANGO WA PAMOJA TANZANIA,CHINA KUONGEZA UZALISHAJI ZAO LA MAHINDI MKOANI MOROGORO WAZINDULIWA
kiungo : MPANGO WA PAMOJA TANZANIA,CHINA KUONGEZA UZALISHAJI ZAO LA MAHINDI MKOANI MOROGORO WAZINDULIWA
MPANGO WA PAMOJA TANZANIA,CHINA KUONGEZA UZALISHAJI ZAO LA MAHINDI MKOANI MOROGORO WAZINDULIWA
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha China Profesa Sun Qixin, akimuonyesha Balozi wa China hapa nchini Wang Ke, moja ya picha katika Kituo cha Mafunzo cha kupunguza Umasikini kijijini, katika Kijiji cha Mtego wa Simba, Mikese mkoani Morogoro, wakati wa uzinduzi wa Mradi wa pamoja wa Tanzania na China wa kuongeza kuzalishaji wa tija wa zao la mahindi, jana katika kijiji hicho. Mradi huo unaendeshwa kwa ushirikiano wa Chuo Kikuu cha Kilimo Morogoro na Chuo hicho Kikuu cha Kilimo cha China. Nyuma yao ni Kaimu Mkuu wa mkoa wa Morogoro Regina Chonjo ambaye ni Mkuu wa wilaya ya Morogoro.
Kaimu Mkuu wa mkoa wa Morogoro ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Morogoro Regina Chonjo, akisalimiana na Profesa Wu Jiu wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha China alipowasili kwenye uzinduzi wa Mradi wa pamoja wa Tanzania na China wa kuongeza kuzalishaji wa tija wa zao la mahindi, jana katika kijiji cha Mtego wa Simba mkoani Morogoro.
Katibu Tawala wa mkoa wa Morogoro Clinfford Tandari akizungumza wakati wa uzinduzi wa Mradi wa pamoja wa Tanzania na China wa kuongeza kuzalishaji wa tija wa zao la mahindi, uliofanyika jana katika kijiji cha Mtego wa Simba mkoani humo.
Wananchi wakiwa kwenye uzinduzi wa Mradi wa pamoja wa Tanzania na China wa kuongeza kuzalishaji wa tija wa zao la mahindi, uliofanyika jana katika kijiji cha Mtego wa Simba mkoani Morogoro.
Kaimu Mkuu wa mkoa wa Morogoro ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Morogoro Regina Chonjo akizungumza wakati wa uzinduzi wa Mradi wa pamoja wa Tanzania na China wa kuongeza kuzalishaji wa tija wa zao la mahindi, uliofanyika jana katika kijiji cha Mtego wa Simba mkoani humo.
Mkuu wa Chuo cha Kilimo cha China Profesa Sun Qixin akizungumza wakati wa uzinduzi wa Mradi wa pamoja wa Tanzania na China wa kuongeza kuzalishaji wa tija wa zao la mahindi, uliofanyika jana katika kijiji cha Mtego wa Simba Mikese mkoani Morogoro.
Hivyo makala MPANGO WA PAMOJA TANZANIA,CHINA KUONGEZA UZALISHAJI ZAO LA MAHINDI MKOANI MOROGORO WAZINDULIWA
yaani makala yote MPANGO WA PAMOJA TANZANIA,CHINA KUONGEZA UZALISHAJI ZAO LA MAHINDI MKOANI MOROGORO WAZINDULIWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MPANGO WA PAMOJA TANZANIA,CHINA KUONGEZA UZALISHAJI ZAO LA MAHINDI MKOANI MOROGORO WAZINDULIWA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/mpango-wa-pamoja-tanzaniachina-kuongeza.html
0 Response to "MPANGO WA PAMOJA TANZANIA,CHINA KUONGEZA UZALISHAJI ZAO LA MAHINDI MKOANI MOROGORO WAZINDULIWA"
Post a Comment