RAIS SHEIN AFUNGA KONGAMANO LA KITAIFA LA UTAWALA BORA NA UCHUMI

RAIS SHEIN AFUNGA KONGAMANO LA KITAIFA LA UTAWALA BORA NA UCHUMI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS SHEIN AFUNGA KONGAMANO LA KITAIFA LA UTAWALA BORA NA UCHUMI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS SHEIN AFUNGA KONGAMANO LA KITAIFA LA UTAWALA BORA NA UCHUMI
kiungo : RAIS SHEIN AFUNGA KONGAMANO LA KITAIFA LA UTAWALA BORA NA UCHUMI

soma pia


RAIS SHEIN AFUNGA KONGAMANO LA KITAIFA LA UTAWALA BORA NA UCHUMI

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati)alipokuwa akifunga  Kongamano la Kitaifa la Utawala Bora na Uchumi Zanzibar lililofanyika jana katika  Ukumbi wa zamani wa  Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Zanzibar (kulia) Waziri wa Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe,Haroun Ali Suleiman (kulia) na Waziri wa Ardhi, Nyumba, Maji na Nishati, Mhe.Salama Aboud Twalib.
Waziri asiyekuwa na Wizara maalum Mhe,Said Soud Said akionesha Ilani ya Chama cha Mapinduzi CCM wakati alipokuwa akitoa mchango wake wakati wa  Kongamano la Kitaifa la Utawala Bora na Uchumi Zanzibar lililofanyika jana katika  Ukumbi wa zamani wa  Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Zanzibar, (Picha na Ikulu)  


Hivyo makala RAIS SHEIN AFUNGA KONGAMANO LA KITAIFA LA UTAWALA BORA NA UCHUMI

yaani makala yote RAIS SHEIN AFUNGA KONGAMANO LA KITAIFA LA UTAWALA BORA NA UCHUMI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS SHEIN AFUNGA KONGAMANO LA KITAIFA LA UTAWALA BORA NA UCHUMI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/rais-shein-afunga-kongamano-la-kitaifa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "RAIS SHEIN AFUNGA KONGAMANO LA KITAIFA LA UTAWALA BORA NA UCHUMI"

Post a Comment