KONCEPT Yawajengea uwezo wa kujitambua wanafunzi wa kidato cha sita wa shule ya wavulana Kibiti

KONCEPT Yawajengea uwezo wa kujitambua wanafunzi wa kidato cha sita wa shule ya wavulana Kibiti - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KONCEPT Yawajengea uwezo wa kujitambua wanafunzi wa kidato cha sita wa shule ya wavulana Kibiti, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KONCEPT Yawajengea uwezo wa kujitambua wanafunzi wa kidato cha sita wa shule ya wavulana Kibiti
kiungo : KONCEPT Yawajengea uwezo wa kujitambua wanafunzi wa kidato cha sita wa shule ya wavulana Kibiti

soma pia


KONCEPT Yawajengea uwezo wa kujitambua wanafunzi wa kidato cha sita wa shule ya wavulana Kibiti

Mkurungezi Mtendaji wa KONCEPT Krantz Mwantepele akitoa nasaha kwa wanafunzi wa shule ya wavulana Kibiti Boys .Kongamano lililokutanisha wanafunzi wa kidato cha sita wa shule ya wavulana ya Kibiti Boys wapatao 451 ambapo walipata nafasi ya kujengewa uwezo wa kujiamini na nasaha za maisha ya mafanikio kwa ujumla.Kongamano hilo lilifanyika shuleni hapo wilayani Kibiti mkoani Pwani mapema wiki hii. 
Wanafunzi wa kidato cha sita wapatao 451 wa shule ya wavulana Kibiti Boys iliyopo wilaya ya kibiti Mkoani wakisikiliza kwa makini nasaha zilizokuwa zikitolewa na Mkurungezi wa KONCEPT Krantz Mwantepele alipotembelea shule hii mapema wiki katika kuwajengea uwezo katika maandalizi yao ya mitihani ya mwisho na pia kuwapa dondoo za mafanikio katika maisha kwa ujumla. 
Mmoja wa wanafunzi akiuliza swali kwa Mkurungezi wa KONCEPT Krantz Mwantepele Kongamano lililokutanisha wanafunzi wa kidato cha sita wa shule ya wavulana ya Kibiti Boys wapatao 451 ambapo walipata nafasi ya kujengewa uwezo wa kujiamini na nasaha za maisha ya mafanikio kwa ujumla.Kongamano hilo lilifanyika shuleni hapo wilayani Kibiti mkoani Pwani mapema wiki hii. 
Wanafunzi wa kidato cha sita wa shule ya wavulana Kibiti wakionesha kuwa wamehamasika na nasaha zilizotolewa na Mkurungezi mtendaji wa KONCEPT Krantz Mwantepele .Kongamano lililokutanisha wanafunzi wa kidato cha sita wa shule ya wavulana ya Kibiti Boys wapatao 451 ambapo walipata nafasi ya kujengewa uwezo wa kujiamini na nasaha za maisha ya mafanikio kwa ujumla.Kongamano hilo lilifanyika shuleni hapo wilayani Kibiti mkoani Pwani mapema wiki hii. 
Mkuu wa shule ya wavulana ya Kibiti Boys Dismas Njawa akifafanua jambo kabla ya kufunga kongamano hilo lililoendeshwa na Mkurungezi Mtendaji wa KONCEPT Krantz Mwantepele . Kongamano lililokutanisha wanafunzi wa kidato cha sita wa shule ya wavulana ya Kibiti Boys wapatao 451 ambapo walipata nafasi ya kujengewa uwezo wa kujiamini na nasaha za maisha ya mafanikio kwa ujumla.Kongamano hilo lilifanyika shuleni hapo wilayani Kibiti mkoani Pwani mapema wiki hii.


Hivyo makala KONCEPT Yawajengea uwezo wa kujitambua wanafunzi wa kidato cha sita wa shule ya wavulana Kibiti

yaani makala yote KONCEPT Yawajengea uwezo wa kujitambua wanafunzi wa kidato cha sita wa shule ya wavulana Kibiti Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KONCEPT Yawajengea uwezo wa kujitambua wanafunzi wa kidato cha sita wa shule ya wavulana Kibiti mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/koncept-yawajengea-uwezo-wa-kujitambua.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KONCEPT Yawajengea uwezo wa kujitambua wanafunzi wa kidato cha sita wa shule ya wavulana Kibiti"

Post a Comment