MICHANGO NA MAFAO YA WANACHAMA KATIKA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII IKO SALAMA.

MICHANGO NA MAFAO YA WANACHAMA KATIKA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII IKO SALAMA. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MICHANGO NA MAFAO YA WANACHAMA KATIKA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII IKO SALAMA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MICHANGO NA MAFAO YA WANACHAMA KATIKA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII IKO SALAMA.
kiungo : MICHANGO NA MAFAO YA WANACHAMA KATIKA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII IKO SALAMA.

soma pia


MICHANGO NA MAFAO YA WANACHAMA KATIKA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII IKO SALAMA.

TAARIFA KWA UMMA
Kama mnavyofahamu Serikali inaendelea na Mchakato wa kuunganisha Mifuko ya Hifadhi ya Jamii baada ya Sheria kupita Bungeni. Hivi karibuni kumeibuka taarifa ambazo si sahihi kuhusiana na usalama wa michango na mafao ya Wanachama. Taarifa hizi zimepelekea baadhi ya Wanachama na Wastaafu kuwa na wasiwasi kuhusu hatma ya michango na mafao yao. 

Mamlaka inapenda kuwaondoa wasiwasi Wanachama na Wastaafu wote wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii kuwa mafao na michango yao iko salama. Waajiri wanapaswa kuendelea kupeleka michango ya wafanyakazi katika Mifuko ya Hifadhi ya Jamii husika. Vile vile Wanachama na Wastaafu waendelee kufuatilia mafao yao katika Mifuko kama kawaida hadi hapo itakapotangazwa vinginevyo.

Imetolewa na
Kitengo cha Mawasiliano
Mamlaka ya Udhibiti na Usimamizi wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii
S.L.P 31846
Dar es Salaam
05/03/2018


Hivyo makala MICHANGO NA MAFAO YA WANACHAMA KATIKA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII IKO SALAMA.

yaani makala yote MICHANGO NA MAFAO YA WANACHAMA KATIKA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII IKO SALAMA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MICHANGO NA MAFAO YA WANACHAMA KATIKA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII IKO SALAMA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/michango-na-mafao-ya-wanachama-katika.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MICHANGO NA MAFAO YA WANACHAMA KATIKA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII IKO SALAMA."

Post a Comment