MFANYABIASHARA APANDISHWA MAHAKAMA YA KISUTU KWA KUSAFIRISHA GRAMU 214 DAWA ZA KULEVYA

MFANYABIASHARA APANDISHWA MAHAKAMA YA KISUTU KWA KUSAFIRISHA GRAMU 214 DAWA ZA KULEVYA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MFANYABIASHARA APANDISHWA MAHAKAMA YA KISUTU KWA KUSAFIRISHA GRAMU 214 DAWA ZA KULEVYA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MFANYABIASHARA APANDISHWA MAHAKAMA YA KISUTU KWA KUSAFIRISHA GRAMU 214 DAWA ZA KULEVYA
kiungo : MFANYABIASHARA APANDISHWA MAHAKAMA YA KISUTU KWA KUSAFIRISHA GRAMU 214 DAWA ZA KULEVYA

soma pia


MFANYABIASHARA APANDISHWA MAHAKAMA YA KISUTU KWA KUSAFIRISHA GRAMU 214 DAWA ZA KULEVYA

Na Karama Kenyunko, blogu ya jamii.

Mfanyabiashara, Hariri Mohammed Hariri (45), mkazi wa Kinondoni, amepandishwa katika kizimba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kujibu Tuhuma za kusafirisha zaidi ya gramu 214 za dawa za kulevya.

 Akisoma hati ya mashtaka Wakili wa serikali, Clara Chalwe mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Huruma Shaidi imedaiwa Machi 2 mwaka huu huko Kinondoni Matitu ndani ya Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam mshtakiwa alisafirisha dawa za kulevya aina ya Heroine Hydrochloride zenye uzito wa gramu 214.11.

 Hata hivyo, mshtakiwa hakuruhusiwa kujibu kitu chohote mahakamani hapo kwa kuwa Mahakama ya Kisutu haina mamlaka ya kusikiliza kesi za dawa za kulevy isipokuwa kwa kibali kutoka kwa DPP.

Kwa mujibu wa upande wa mashtaka, upelelezi katika kesi hiyo bado haujakamilika. Na imeahirishwa hadi Aprili 4 mwaka huu


Hivyo makala MFANYABIASHARA APANDISHWA MAHAKAMA YA KISUTU KWA KUSAFIRISHA GRAMU 214 DAWA ZA KULEVYA

yaani makala yote MFANYABIASHARA APANDISHWA MAHAKAMA YA KISUTU KWA KUSAFIRISHA GRAMU 214 DAWA ZA KULEVYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MFANYABIASHARA APANDISHWA MAHAKAMA YA KISUTU KWA KUSAFIRISHA GRAMU 214 DAWA ZA KULEVYA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/mfanyabiashara-apandishwa-mahakama-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MFANYABIASHARA APANDISHWA MAHAKAMA YA KISUTU KWA KUSAFIRISHA GRAMU 214 DAWA ZA KULEVYA"

Post a Comment