title : MASAUNI AFANYA MKUTANO WA HADHARA KILWA KUSINI ASISITIZA ADHMA YA SERIKALI KUKOMESHA UHALIFU NCHINI
kiungo : MASAUNI AFANYA MKUTANO WA HADHARA KILWA KUSINI ASISITIZA ADHMA YA SERIKALI KUKOMESHA UHALIFU NCHINI
MASAUNI AFANYA MKUTANO WA HADHARA KILWA KUSINI ASISITIZA ADHMA YA SERIKALI KUKOMESHA UHALIFU NCHINI
NaibuWaziriwa Mambo yaNdaniyaNchi, MhandisiHamadMasauni, akizungumzanawananchiwaWilayayaKilwaKusini(hawapopichani), wakatiwamkutanowahadharaambapoaliwaasawananchihaokushirikiananavyombovyaUlinzinaUsalamakufichuawahalifuikiwanikuisaidiaserikalikatikaadhmayakukomeshamatendoyauhalifunchini.MkutanohuoumefanyikakatikaViwanjavyaMaalimSeif,KilwaKusini.
MkuuwaWilayayaKilwaMkoaniLindi, Christopher NgubiagaiakizungumzanawananchiwaWilayayaKilwaKusini(hawapopichani), wakatiwaziarayaNaibuWaziri Mambo yaNdaniyaNchi,MhandisiHamadMasauni.MkutanohuoumefanyikakatikaViwanjavyaMaalimSeif,KilwaKusini.
NaibuWaziriwa Mambo yaNdaniyaNchi, MhandisiHamadMasauni, akizungumzanabaadhiyawananchiwaWilayayaKilwaKusinibaadayakumalizamkutanowahadharaambapoaliwaasawananchihaokushirikiananavyombovyaUlinzinaUsalamakufichuawahalifuikiwanikuisaidiaserikalikatikaadhmayakukomeshamatendoyauhalifunchini.
WananchiwaWilayayaKilwawakimsikilzaNaibuWaziriwa Mambo yaNdaniyaNchi, MhandisiHamadMasauni(hayupopichani), akizungumzawakatiwamkutanowahadharaambapoaliwaasawananchihaokushirikiananavyombovyaUlinzinaUsalamakufichuawahalifuikiwanikuisaidiaserikalikatikaadhmayakukomeshamatendoyauhalifunchini.MkutanohuoumefanyikakatikaViwanjavyaMaalimSeif,KilwaKusini.PichanaWizaraya Mambo yaNdaniyaNchi.
IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI -WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI.
Hivyo makala MASAUNI AFANYA MKUTANO WA HADHARA KILWA KUSINI ASISITIZA ADHMA YA SERIKALI KUKOMESHA UHALIFU NCHINI
yaani makala yote MASAUNI AFANYA MKUTANO WA HADHARA KILWA KUSINI ASISITIZA ADHMA YA SERIKALI KUKOMESHA UHALIFU NCHINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MASAUNI AFANYA MKUTANO WA HADHARA KILWA KUSINI ASISITIZA ADHMA YA SERIKALI KUKOMESHA UHALIFU NCHINI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/masauni-afanya-mkutano-wa-hadhara-kilwa.html
0 Response to "MASAUNI AFANYA MKUTANO WA HADHARA KILWA KUSINI ASISITIZA ADHMA YA SERIKALI KUKOMESHA UHALIFU NCHINI"
Post a Comment