title : MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA HOSPITALI YA ABDALLA MZEE PEMBA
kiungo : MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA HOSPITALI YA ABDALLA MZEE PEMBA
MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA HOSPITALI YA ABDALLA MZEE PEMBA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimjulia hali mtoto Rayna Abdala mwenye umri wa mwaka mmoja aliyelazwa kutokana na kuungua moto katika hospitali ya Abdala Mzee, mkoa wa Kusini Pemba.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimjulia hali mtoto Hafidh Jabir Ali mwenye umri wa miaka 3 aliyelazwa kutokana na kuungua na chai katika hospitali ya Abdala Mzee, mkoa wa Kusini Pemba. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akipata maelezo kutoka kwa Dkt. Wuxiao Shu juu ya matibabu ya mguu wa mtoto AzarAli mwenye umri wa miaka aliyelazwa katika hospitali ya Abdala Mzee, mkoa wa Kusini Pemba.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi nje ya majengo ya hospitali ya Abdala Mzee, mkoa wa Kusini Pemba mara baada ya kukagua maendeleo ya hospitali hiyo. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Hivyo makala MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA HOSPITALI YA ABDALLA MZEE PEMBA
yaani makala yote MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA HOSPITALI YA ABDALLA MZEE PEMBA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA HOSPITALI YA ABDALLA MZEE PEMBA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/makamu-wa-rais-atembelea-hospitali-ya_20.html
0 Response to "MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA HOSPITALI YA ABDALLA MZEE PEMBA"
Post a Comment