MADIWANI HALMASHAURI YA JIJI DAR WAHOJI KUHUSU FEDHA ZINAZOTOLEWA NA KARIAKOO

MADIWANI HALMASHAURI YA JIJI DAR WAHOJI KUHUSU FEDHA ZINAZOTOLEWA NA KARIAKOO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MADIWANI HALMASHAURI YA JIJI DAR WAHOJI KUHUSU FEDHA ZINAZOTOLEWA NA KARIAKOO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MADIWANI HALMASHAURI YA JIJI DAR WAHOJI KUHUSU FEDHA ZINAZOTOLEWA NA KARIAKOO
kiungo : MADIWANI HALMASHAURI YA JIJI DAR WAHOJI KUHUSU FEDHA ZINAZOTOLEWA NA KARIAKOO

soma pia


MADIWANI HALMASHAURI YA JIJI DAR WAHOJI KUHUSU FEDHA ZINAZOTOLEWA NA KARIAKOO


Na Ripota Wetu,Globu ya jamii

BARAZA la Madiwani wa Jiji la  Dar es Salaam limeomba kufahamu kiasi cha fedha kinachopatikana katika Soko la Kariakoo maana wamechoshwa na kauli ya kwamba soko hilo linaendeshwa kwa hasara.

Baadhi ya madiwani hao wamekiambia kikao cha Baraza la Madiwani wa Jiji hilo leo jijini Dar es Salaam wamesema Jiji linamiliki soko kwa asilimia 51.Diwani wa Kata ya Mbezi Humphrey Sambo amekiomba kikao hicho kupata taarifa za mapato ya soko hilo kwani kwa mtazamo wa kawaida wamedai fedha inayopatikana ni nyingi lakini wao wanaambiwa linaendeshwa kwa hasara.

"Tufuatilie ili kujua nini ambacho kinaendelea katika Soko la Kariakoo kwani nimechoka kusikia kila siku wanapata hasara lakini watu wanakwenda kazini," amesema.Amefafanua kwa kuwa Jiji linahisa ya asilimia 51 ni vema ikajulikana kinachopatikana na mgao wa Jiji ni kiasi gani.

Kwa upande wa Diwani wa Kata ya Tabata Patrick Asenga amesema soko la Kariakoo si kweli linapata hasara kwani hata vizimba vya biashara vilivyopo kodi yake ni Sh.300,000 hadi Sh.400,000.Amesema ni vema Jiji likatoa kauli ya kuwaita wanaosimamia soko hilo ili waeleze kuhusu soko hilo na kwamba hakubaliani na kauli ya soko kuendeshwa kwa hasara.

Kutokana na maelezo hayo ya madiwani,Meya wa Jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita amemuomba Mkurugenzi wa Jiji hilo kuyafanyia kazi na kwenye kikao kijacho majibu yatolewe."Mkurugenzi wa Jiji naomba ukae na menejimenti yao  kushughulikia suala hili kwanza na  na menejimenti yake na baada ya hapo taarifa itolewe," amesema.
Mstahki Meya wa jiji la Dar es Salaam,Isaya Mwita akiongoza kikao cha robo ya pili ya baraza la madiwani leo, kushoto ni Mkurugenzi wa jiji Sipora Liana.


Hivyo makala MADIWANI HALMASHAURI YA JIJI DAR WAHOJI KUHUSU FEDHA ZINAZOTOLEWA NA KARIAKOO

yaani makala yote MADIWANI HALMASHAURI YA JIJI DAR WAHOJI KUHUSU FEDHA ZINAZOTOLEWA NA KARIAKOO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MADIWANI HALMASHAURI YA JIJI DAR WAHOJI KUHUSU FEDHA ZINAZOTOLEWA NA KARIAKOO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/madiwani-halmashauri-ya-jiji-dar-wahoji.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MADIWANI HALMASHAURI YA JIJI DAR WAHOJI KUHUSU FEDHA ZINAZOTOLEWA NA KARIAKOO"

Post a Comment