title : MMILIKI MTANDAO WA FACEBOOK AWAOMBA RADHI WATEJ A WAKE
kiungo : MMILIKI MTANDAO WA FACEBOOK AWAOMBA RADHI WATEJ A WAKE
MMILIKI MTANDAO WA FACEBOOK AWAOMBA RADHI WATEJ A WAKE
ZUCKERBERG AFUNGUKA SAKATA LA FACEBOOK.
Na Leandra Gabriel, Globu ya jamii
MWANZILISHI na mmiliki wa mtandao wa Facebook Mark Zuckerberg ameibuka na kuomba msamaha kwa wateja wake baada ya sakata la kudukuliwa kwa data za watumiaji zaidi ya milioni 50 wa mtandao huo na kampuni ya taarifa na takwimu ya Cambridge Analytica.
Kashfa hiyo imeipa hasara ya zaidi ya bilioni 45 kwa siku mbili kutokana na hofu na upotoshaji uliotokea kwa watumiaji wake. Zuckerberg amehaidi uaminifu na umakini zaidi wa kulinda data za watumiaji wake na hazitoingiliwa tena.
Sakata hilo linakuja baada ya utumikaji wa data wa watumiaji wa mtandao wa Facebook kudukuliwa na kutumika vibaya katika uchaguzi wa nchi za Kenya na Marekani (2016) ambapo Donald Trump aliibuka kidedea.
Mamlaka ya Cambridge analytica imemsimamisha kazi mkuu Cambridge Nix Alexander kwa kuhusika na sakata hili pia mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Cambridge anayehusishwa na kampuni hii ya Uingereza ya utafiti data bado anaandamwa na kashfa ha kutengeneza Application ilitumiwa kudukulia data na udukuzi huu ulimpa ushindi Donald Trump.
Imeelezwa kwamba Facebook ndio mtandao wenye watumiaji wengi zaidi duniani, ulianzishwa February 4 mwaka 2004 na Mark Zuckerberg na hadi kufikia mwaka 2010 ametangazwa kuwa miongoni mwa matajiri 100 duniani na mtu mwenye ushawishi zaidi.
Hivyo makala MMILIKI MTANDAO WA FACEBOOK AWAOMBA RADHI WATEJ A WAKE
yaani makala yote MMILIKI MTANDAO WA FACEBOOK AWAOMBA RADHI WATEJ A WAKE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MMILIKI MTANDAO WA FACEBOOK AWAOMBA RADHI WATEJ A WAKE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/mmiliki-mtandao-wa-facebook-awaomba.html
0 Response to "MMILIKI MTANDAO WA FACEBOOK AWAOMBA RADHI WATEJ A WAKE"
Post a Comment