KUWAIT YAZINDUA KISIMA CHA 61 KATIKA WILAYA YA KIGAMBONI

KUWAIT YAZINDUA KISIMA CHA 61 KATIKA WILAYA YA KIGAMBONI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KUWAIT YAZINDUA KISIMA CHA 61 KATIKA WILAYA YA KIGAMBONI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KUWAIT YAZINDUA KISIMA CHA 61 KATIKA WILAYA YA KIGAMBONI
kiungo : KUWAIT YAZINDUA KISIMA CHA 61 KATIKA WILAYA YA KIGAMBONI

soma pia


KUWAIT YAZINDUA KISIMA CHA 61 KATIKA WILAYA YA KIGAMBONI

Balozi wa Kuwait Nchini Tanzania Mhe, Jasem Al-Najem azindua kisima cha 61 katika shule ya msingi ya Gezaulole, Wilaya ya Kigamboni Dar es Salaam machi 7, 2018, Ikiwa ni mwendelezo wa utekelezaji wa mradi wa ''Kisima cha Maji katika kila Shule''.

Ulio anzishwa na Ubalozi wa Kuwati mwishoni mwa mwaka 2016, Hafla ya uzinduzi wa kisim hicho kilihudhuliw na Diwani wa Sumangila, Fransis Chichi, Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa.

Maziku Luhemeg, Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Gezaulole, Masiku Lupa, Mwalimu Mkuu Maryam Shabani pamoja na walimu na wanafunzi wa shule hiyo,kilicho zindiuliwa na Balozi wa Kuwait Nchini Tanzania Mh. Jasem Al-Najem.

Ambapo kitanufaisha shule ya Msingi ya Gezaulole iliyoanzishwa mwaka 1962 yenye wanafunzi 868 na madarasa kumi na shule jirani ya Sekondari ya Ibnu Rushyyenye wanafunzi 250 iliyo anzishwa mwaka 2007.

Balozi wa Kuwait Nchini Tanznia, Mh. Jasem Al-Najem katika hotuba yake baada ya uzinduzi huo amesema kuwa Ubalozi wa nchini mwake umeanzisha mradi wa "Kisima cha Maji" ilikuitikia wito na kuunga mkono sera ya Rais wa Tanzania, Mh. Jonh Magufuli ya kutoa Elimu bure .Balozi Mhe, Jasem Al-Najem ameeleza kuwa kuwa atashirikiana na viongozi wa eneo hilo katika kutatua changamoto zitakazo kabiliana na shule hiyo,

Aidha aliahidi kuwapatia wanafunzi wa shule hiyo, madaftari , , mikoba na vifaa vya kuhifadhia maji kwa kila darasa ili wanafunzi wasihangaike kuchukua maji katika kisima mara kwa mara huku akiwataka wanafunzi hao kujihimu katika masomo yao ili wawe mdaktari, wanahabari, walimu.

Diwani Sumangila kwa upande wake Francis Chichi ameishukuru Kuwait kwa kuwachimbia kisima cha maji katika shule hiyo huku akimuomba Balozi, Jasem Al-Najem kusaidia Kata yake gari la kubebea wagonjwa ili kuwaondolea akina mama wajawzito na watu wazima ambao hulazimika kutembea masafa marefu kufika Hospitali na katika vituo vya Afya ambapo baadhi yao wakati mwingine hulazimika kukodi Pikipiki ili kufika huko, jambo ambalo linahatarisha uhai wao.
Balozi wa Kuwait Nchini Tanzania, Mh. Jasem Al-Najem (wa kwanza kulia) akizindua kisima cha maji katika shule Gezaulole. akiwa na mwalimu Mkuu Maryam Shaban (wa tatu kulia), na Sheikh Kaporo ambaye ni msimamizi wa ujenzi wa kisima wa kwanza kushoto 
Balozi wa Kuwait Nchini Tanzania, Mh. Jasem Al-Najem akihutubia baada ya uzinduzi wa kisima, kulia kwake ni Diwani wa Sumangila Fransis Chichi na kushoto kwake ni Mwalimu Mkuu Waryam Shabani.
Diwani wa Sumangila, Fransis Chichi akizungumza jmbo mara baad ya Balozi wa Kuwait Nchini Tanzania, Mh. Jasem Al-Najem kuzindua kisima 
Wanafunzi wakiwa wamebeba vifaa maalumu vya kuhifadhi maji vilivyotolewa msaada na Ubalozi wa Kuwait Nchini
Balozi wa Kuwait Nchini Tanznia, Mh.Jasem Al-Najem akiwa amekaa na kuzungumza na wanafunzi wa darasa la kwanza shule ya Gezaulole ambapo amewaahidi kuwapati mdftari na mikoba



Hivyo makala KUWAIT YAZINDUA KISIMA CHA 61 KATIKA WILAYA YA KIGAMBONI

yaani makala yote KUWAIT YAZINDUA KISIMA CHA 61 KATIKA WILAYA YA KIGAMBONI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KUWAIT YAZINDUA KISIMA CHA 61 KATIKA WILAYA YA KIGAMBONI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/kuwait-yazindua-kisima-cha-61-katika_11.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "KUWAIT YAZINDUA KISIMA CHA 61 KATIKA WILAYA YA KIGAMBONI"

Post a Comment