KAMATI YA KILIMO, MIFUGO NA MAJI YAKAGUA MIRADI YA MAJI KIGOMA

KAMATI YA KILIMO, MIFUGO NA MAJI YAKAGUA MIRADI YA MAJI KIGOMA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KAMATI YA KILIMO, MIFUGO NA MAJI YAKAGUA MIRADI YA MAJI KIGOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KAMATI YA KILIMO, MIFUGO NA MAJI YAKAGUA MIRADI YA MAJI KIGOMA
kiungo : KAMATI YA KILIMO, MIFUGO NA MAJI YAKAGUA MIRADI YA MAJI KIGOMA

soma pia


KAMATI YA KILIMO, MIFUGO NA MAJI YAKAGUA MIRADI YA MAJI KIGOMA

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji imefanya ziara ya kutembelea mkoa wa Kigoma kwa ajili ya kukagua miradi ya maji na umwagiliaji inayotekelezwa na Wizara ya Maji na Umwagiliaji kwa lengo la kujionea maendeleo na changamoto ya kazi zinazofanywa na wizara hiyo kuelekea Bunge la Bajeti Mwaka 2018/19.

Kamati hiyo imetembelea Manispaa ya Kigoma na Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma na kujionea mradi mkubwa wa majisafi na majitaka na eneo linalotarajiwa kujengwa skimu ya umwagiliaji.Ziara hiyo imehusisha wajumbe wa kamati 18 ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mahmoud Mgimwa, Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Jumaa Aweso na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Emmanuel Kalobelo.

 Mhandisi Mkazi wa Kampuni ya GKW Consul, Michael Mwamkinga akitoa taarifa mbele ya wajumbe wa kamati, kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati, Mahmoud Mgimwa, Mkuu wa Wilaya ya KIgoma, Samson Anga na Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Jumaa Aweso katika chanzo cha maji cha Amani Beach, Kigoma.
Mwenyekiti wa Kamati, Mahmoud Mgimwa (katikati) na Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Jumaa Aweso wakiwa pamoja na wajumbe wa kamati na wataalamu kutoka Wizara ya Maji na Umwagiliaji katika eneo la kuendeshea mitambo.

Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji wakiangalia maendeleo ya utekelezaji wa mradi wa maji wa Kigoma Mjini.

Moja ya bwawa la majitaka katika eneo la Luiche ambapo kumejengwa mradi wa majitaka wilayani Kigoma.
 


Hivyo makala KAMATI YA KILIMO, MIFUGO NA MAJI YAKAGUA MIRADI YA MAJI KIGOMA

yaani makala yote KAMATI YA KILIMO, MIFUGO NA MAJI YAKAGUA MIRADI YA MAJI KIGOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KAMATI YA KILIMO, MIFUGO NA MAJI YAKAGUA MIRADI YA MAJI KIGOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/kamati-ya-kilimo-mifugo-na-maji-yakagua_16.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "KAMATI YA KILIMO, MIFUGO NA MAJI YAKAGUA MIRADI YA MAJI KIGOMA"

Post a Comment