HAWA HAPA WABUNGE WALIOPATA AJALI

HAWA HAPA WABUNGE WALIOPATA AJALI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa HAWA HAPA WABUNGE WALIOPATA AJALI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : HAWA HAPA WABUNGE WALIOPATA AJALI
kiungo : HAWA HAPA WABUNGE WALIOPATA AJALI

soma pia


HAWA HAPA WABUNGE WALIOPATA AJALI


Katibu wa Bunge, Steven Kagaigai amesema chombo hicho cha dola kinafuatilia kwa ukaribu ajali ya wabunge sita iliyotokea jana usiku, Machi 29, 2018 mkoani Morogoro.

Kagaigai amesema baada ya kupokea taarifa hizo wamefanya mawasiliano na uongozi wa Hospitali ya Morogoro na walishauriwa kuwahamishia Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa ajili ya uchunguzi zaidi.

“Ndiyo taarifa hizo ninazo, wamepata ajali huko Morogoro, tayari tumeshafanya taratibu za kuwapeleka Muhimbili kwa huduma zaidi na ofisi yetu inawajibika kwa kila hatua,” amesema Kagaigai.

Wabunge hao ambao wote ni kutoka Zanzibar ni Haji Ameir Haji (Makunduchi), Khamis Ali Vuai (Mkwajuni), Bhagwanji Maganlal Meisuria (Chwaka), Makame Mashaka Foum (Kijini), Juma Othman Hija (Tumbatu).



Hivyo makala HAWA HAPA WABUNGE WALIOPATA AJALI

yaani makala yote HAWA HAPA WABUNGE WALIOPATA AJALI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala HAWA HAPA WABUNGE WALIOPATA AJALI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/hawa-hapa-wabunge-waliopata-ajali.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "HAWA HAPA WABUNGE WALIOPATA AJALI"

Post a Comment