title : Makamu wa Rais afanya ziara wilayani Iramba mkoani Singida
kiungo : Makamu wa Rais afanya ziara wilayani Iramba mkoani Singida
Makamu wa Rais afanya ziara wilayani Iramba mkoani Singida
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mbunge wa Jimbo la Iramba Mhe. Mwigulu Nchemba (kulia) mara baada ya kuwasili katika kiwanda cha kusindika alizeti cha Yaza katika kijiji cha Ndago, wilayani Iramba mkoa wa Singida. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mbunge wa Jimbo la Iramba Mhe. Mwigulu Nchemba (kushoto) mara baada ya kutembelea kiwanda cha kusindika alizeti cha Yaza katika kijiji cha Ndago, wilayani Iramba mkoa wa Singida. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia mara baada ya kutembelea kiwanda cha kusindika alizeti cha Yaza katika kijiji cha Ndago, wilayani Iramba mkoa wa Singida. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Chuo Cha Ualimu Bw. Maulid Njau (kushoto) juu ya maboresho na ukarabati wa chuo cha ualimu Kinampanda, wilayani Iramba mkoa wa Singida. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Hivyo makala Makamu wa Rais afanya ziara wilayani Iramba mkoani Singida
yaani makala yote Makamu wa Rais afanya ziara wilayani Iramba mkoani Singida Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Makamu wa Rais afanya ziara wilayani Iramba mkoani Singida mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/makamu-wa-rais-afanya-ziara-wilayani_20.html
0 Response to "Makamu wa Rais afanya ziara wilayani Iramba mkoani Singida"
Post a Comment