MAKAMU WA RAIS AZUNGUMZA NA BALOZI WA UFARANSA NA MKURUGENZI MKAZI WFP

MAKAMU WA RAIS AZUNGUMZA NA BALOZI WA UFARANSA NA MKURUGENZI MKAZI WFP - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAKAMU WA RAIS AZUNGUMZA NA BALOZI WA UFARANSA NA MKURUGENZI MKAZI WFP, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAKAMU WA RAIS AZUNGUMZA NA BALOZI WA UFARANSA NA MKURUGENZI MKAZI WFP
kiungo : MAKAMU WA RAIS AZUNGUMZA NA BALOZI WA UFARANSA NA MKURUGENZI MKAZI WFP

soma pia


MAKAMU WA RAIS AZUNGUMZA NA BALOZI WA UFARANSA NA MKURUGENZI MKAZI WFP




Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kuzungumza na Balozi mpya wa Ufaransa nchini Mhe. Frederic Clavier ambaye aliongozana na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD) Bw. Emmanuel Baudran.

Katika mazungumzo hayo ambayo yamefanyika Ofisini kwa Makamu wa Rais, Ikulu jijini Dar es Salaam.

Balozi Clavier amewasilisha salaam za Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli na kusema “Rais wa Ufaransa ana uhakika na Tanzania ijayo na anaunga mkono jitihada za maendeleo zinazofanywa na Rais Magufuli”

Balozi huyo mpya wa Ufaransa nchini ambaye amekutana na kuzungumza na Mheshimiwa Makamu wa Rais aliipongeza Tanzania kwa kuwa mstari wa mbele katika masuala mbali mbali ya Kimataifa na kusema “Tanzania ni nchi yenye utulivu na Amani kitu ambacho kinaipa taswira nzuri Umoja wa Mataifa”.

Mhe. Balozi amemjulisha Makamu wa Rais kwamba Ufaransa imekusudia kuimarisha uhusiano zaidi na Tanzania wa Uchumi na Siasa na kuanzisha majadiliano mbali mbali katika masuala ya Mazingira,Mabadiliko ya Tabia Nchi.

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Balozi wa Ufaransa nchini Mhe. Frédéric CLAVIER aliyemtembelea Makamu wa Rais ofisini kwake ,Ikulu jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa Ufaransa nchini Mhe. Frédéric CLAVIER ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimia na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Chakula Duniani(WFP) hapa nchini Bw. Michael Dunford ambaye alifika ofisni kwa Makamu wa Rais, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Chakula Duniani(WFP) hapa nchini Bw. Michael Dunford ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam. Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais


HABARI ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala MAKAMU WA RAIS AZUNGUMZA NA BALOZI WA UFARANSA NA MKURUGENZI MKAZI WFP

yaani makala yote MAKAMU WA RAIS AZUNGUMZA NA BALOZI WA UFARANSA NA MKURUGENZI MKAZI WFP Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS AZUNGUMZA NA BALOZI WA UFARANSA NA MKURUGENZI MKAZI WFP mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/makamu-wa-rais-azungumza-na-balozi-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MAKAMU WA RAIS AZUNGUMZA NA BALOZI WA UFARANSA NA MKURUGENZI MKAZI WFP"

Post a Comment