ZIMAMOTO YAJIWEKA TAYARI KWA MAOKOZI MAJINI

ZIMAMOTO YAJIWEKA TAYARI KWA MAOKOZI MAJINI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ZIMAMOTO YAJIWEKA TAYARI KWA MAOKOZI MAJINI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ZIMAMOTO YAJIWEKA TAYARI KWA MAOKOZI MAJINI
kiungo : ZIMAMOTO YAJIWEKA TAYARI KWA MAOKOZI MAJINI

soma pia


ZIMAMOTO YAJIWEKA TAYARI KWA MAOKOZI MAJINI

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Thobias Andengenye katika picha ya pamoja na Kikosi cha Maokozi cha Jeshi hilo, wakati alipotembelea Kikosi hicho kilipokuwa kikionesha zoezi la maokozi, kushoto ni Mrakibu Msaidizi wa Zimamoto Bashiri Madhehebi ambaye ni Mkuu wa kikosi hicho.
Wazamiaji wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji wakimuonesha Kamishna Jenerali wa Jeshi hilo (hayupo pichani), jinsi wanavyoweza kufanya maokozi katika maji alipotembelea eneo la daraja la Mwalimu Nyerere Kigamboni walipokuwa wakifanya zoezi hilo, mapema leo asubuhi (kushoto) ni Sajini wa Zimamoto Salehe Salla na aliyevaa boya maalum kwa ajili ya maokozi ni Koplo wa Zimamoto Omary Katonga.
Mzamiaji wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Sajini wa Zimamoto Saidi Sekibojo akiwa katika mazoezi ya uzamiaji katika eneo la Daraja la Mwalimu Nyerere mapema leo asubuhi, lengo ni kujiweka tayari kwa ajili ya Maokozi majini pindi ajali zinapotokea.
Sehemu ya Askari wazamiaji wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji wakiongozwa na Koplo Omary Katonga (kulia) wakionesha utimamu mbele ya Kamishna Jenerali wa Jeshi hilo (hayupo picha) mara baada ya kufanikiwa kumuokoa mhanga aliyekuwa kazama katika kina kirefu cha maji, wakati wa mazoezi ya uzamiaji katika eneo la Daraja la Mwalimu Nyerere mapema leo asubuhi, lengo ni kujiweka tayari kwa ajili ya Maokozi majini pindi ajali zinapotokea.
Picha na Jeshi la Zimamoto Na Uokoaji

IMEANDALIWA NA KITENGO CHA HABARI NA ELIMU KWA UMMA – JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI


Hivyo makala ZIMAMOTO YAJIWEKA TAYARI KWA MAOKOZI MAJINI

yaani makala yote ZIMAMOTO YAJIWEKA TAYARI KWA MAOKOZI MAJINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ZIMAMOTO YAJIWEKA TAYARI KWA MAOKOZI MAJINI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/zimamoto-yajiweka-tayari-kwa-maokozi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "ZIMAMOTO YAJIWEKA TAYARI KWA MAOKOZI MAJINI"

Post a Comment