WANANCHI WA KILOLO MKOANI IRINGA WAJITOKEZA KWA WINGI KUJISAJILI VITAMBULISHO VYA TAIFA

WANANCHI WA KILOLO MKOANI IRINGA WAJITOKEZA KWA WINGI KUJISAJILI VITAMBULISHO VYA TAIFA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WANANCHI WA KILOLO MKOANI IRINGA WAJITOKEZA KWA WINGI KUJISAJILI VITAMBULISHO VYA TAIFA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WANANCHI WA KILOLO MKOANI IRINGA WAJITOKEZA KWA WINGI KUJISAJILI VITAMBULISHO VYA TAIFA
kiungo : WANANCHI WA KILOLO MKOANI IRINGA WAJITOKEZA KWA WINGI KUJISAJILI VITAMBULISHO VYA TAIFA

soma pia


WANANCHI WA KILOLO MKOANI IRINGA WAJITOKEZA KWA WINGI KUJISAJILI VITAMBULISHO VYA TAIFA

Zoezi la Usajili Vitambulisho vya Taifa limeendelea mkoani Iringa ambapo mara hii linafanyika katika Wilaya ya Kilolo Kata za Kimala, Idete na Dabaga.

Kwa mujibu wa Afisa Usajili wa Wilaya hiyo Ndugu Kelfasi Walingozi utaratibu unaotumika ni wa kuwasajili Wananchi kwa Kata ambapo kwa kushirikiana na Viongozi wa Wilaya, Kata, Mitaa na Vijiji. Amesema mpaka sasa zoezi limeanza vizuri na mwitikio wa watu ni mkubwa sana.

“ Kwakweli umuhimu wa Vitambulisho vya Taifa ni mkubwa kwa wananchi na wananchi wanatambua umuhimu wake ndiyo maana unaona wazee hawa wanajihimu kufika kwenye vituo kusajiliwa” Alisema .

Mkoa wa Iringa uko kwenye Wilaya ya mwisho kukamilisha usajili Vitambulisho vya taifa ambapo Wilaya zingine za Mufindi na Iringa tayari zilishakamilisha zoezi hilo na wananchi kwa sasa wanasubiri kukabidhiwa Vitambulisho vyao.
Wakazi wa Kijiji cha Itonya wakiwa wamekusanyika kwenye kituo cha Usajili kilichopo Wilaya ya Kilolo mkoa wa Lindi. Mbali na kujaza fomu za maombi ya Vitambulisho wakazi hao pia wanachukuliwa alama alama za vidole, picha na saini ya kielektroniki.
Hawa ni baadhi ya wakazi wa Kijiji cha Kimala Kata ya Kimala wakiwa wamejumuika na baadhi ya wazee kupata huduma ya Usajili wakati zoezi la kuwasajili likiendelea kijijini hapo. 
Mkazi wa Kijiji cha Uluti Kata ya Kimala akiweka alama za vidole kwenye mashine ya kuchukua alama za kibaiolojia wakati wa Usajili wa Vitambulisho vya Taifa kijijini hapo.
Kinamama wakikamilisha zoezi la Usajili linaloendelea katika Kijiji cha Uluti. Mpango wa Usajili katika Kijiji hicho umezingatia utaratibu wa kutoa kipaumbele kwa kina mama na watoto, wazee na wajawazito wanaofika kijijini hapo kupata huduma ya usajili.


Hivyo makala WANANCHI WA KILOLO MKOANI IRINGA WAJITOKEZA KWA WINGI KUJISAJILI VITAMBULISHO VYA TAIFA

yaani makala yote WANANCHI WA KILOLO MKOANI IRINGA WAJITOKEZA KWA WINGI KUJISAJILI VITAMBULISHO VYA TAIFA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WANANCHI WA KILOLO MKOANI IRINGA WAJITOKEZA KWA WINGI KUJISAJILI VITAMBULISHO VYA TAIFA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/wananchi-wa-kilolo-mkoani-iringa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WANANCHI WA KILOLO MKOANI IRINGA WAJITOKEZA KWA WINGI KUJISAJILI VITAMBULISHO VYA TAIFA"

Post a Comment