Wawekezaji Watakiwa Kuchangamkia Fursa Mkoani Manyara

Wawekezaji Watakiwa Kuchangamkia Fursa Mkoani Manyara - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Wawekezaji Watakiwa Kuchangamkia Fursa Mkoani Manyara, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Wawekezaji Watakiwa Kuchangamkia Fursa Mkoani Manyara
kiungo : Wawekezaji Watakiwa Kuchangamkia Fursa Mkoani Manyara

soma pia


Wawekezaji Watakiwa Kuchangamkia Fursa Mkoani Manyara


Na: Frank Shija – MAELEZO, Babati,

Wawekezaji wametakiwa kuchangamkia fursa mbalimbali zinazopatikana katika Mkoa wa Manyara badala ya kukimbilia katika maeneo ambayo yamezoeleka na wadau wengi wa maendeleo.

Rai hiyo imetolewa leo Mjini Babati na Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Manyara alipokuta na ujumbe kutoka Bodi ya Filamu Tanzania ukiongozwa na Katibu Mtendaji wa Bodi hiyo Bibi. Joyce Fissoo mape hii leo.

Kaimu Katibu Tawala huyo ameema kuwa Mkoa wa Manyara unazo fursa nyingi za uwekezaji hivyo ni vyema sasa wawekezaji wakatumia fursa hizo na kuja kuwekeza katika Nyanja tofautitofauti za uwekezaji ikiwemo kilimo, viwanda na ufugaji.

“ Mkoa wetu wa Manyara unazo fursa nyingi ambazo kama wawekezaji wakijitokeza watanufaika nazo, hivyo ni wito wangu kwao kuwa waje mkoani Manyara watumie fursa hizo, tunayo maeneo yakutosha kwa shughuli za uwekezaji”, alisema Kaimu Katibu Tawala huyo.
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania (KBF), Bibi. Joyce Fissoo akielezea jambo mbele ya mwenyeji wake ambaye ni Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Manyara, Missaile Raymond Musa (katikati) mara baada ya kuwasilia katika Ofisi za Katibu Tawala wa Mkoa wa Manyara, mjini Babati Leo. Mama Fissoo yupo mkoani humo kwa ziara ya kikazi ili kuwajengea uwezo wajumbe wa Bodi za Filamu za Mikoa na Wilaya kuhusu Kanuni na Sheria ya Filamu. Kutoa kulia ni Afisa Utamaduni wa Mkoa wa Manyara ambaye pia ndiye Katibu wa Bodi ya Filamu Mkoa Bi. Frida Nkarage na Katibu Tawala Msaidizi Serikali za Mitaa wa Mkoa Kennedy Kaganda.
Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Manyara ambaye pia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Filamu Mkoa, Missaile Raymond Musa akizungumza jambo alipokutana na Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania (KBF), Bibi. Joyce Fissoo (kushoto) leo Ofisini kwake mjini Babati, Mkoani Manyara. KBF yupo mkoani humo kwa ziara ya kikazi ili kuwajengea uwezo wajumbe wa Bodi za Filamu za Mikoa na Wilaya kuhusu Kanuni na Sheria ya Filamu.
Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Manyara ambaye pia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Filamu Mkoa, Missaile Raymond Musa akisoma kwa makini nakala za Sheria ya Filamu na Kanuni zake mara baada ya kukabidhiwa na Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania (KBF), Bibi. Joyce Fissoo (kushoto) Ofisini kwake leo mjini Babati. KBF yupo mkoani humo kwa ziara ya kikazi ili kuwajengea uwezo wajumbe wa Bodi za Filamu za Mikoa na Wilaya kuhusu Kanuni na Sheria ya Filamu.

HABARI ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala Wawekezaji Watakiwa Kuchangamkia Fursa Mkoani Manyara

yaani makala yote Wawekezaji Watakiwa Kuchangamkia Fursa Mkoani Manyara Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Wawekezaji Watakiwa Kuchangamkia Fursa Mkoani Manyara mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/wawekezaji-watakiwa-kuchangamkia-fursa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Wawekezaji Watakiwa Kuchangamkia Fursa Mkoani Manyara"

Post a Comment