title : DK.SHEIN ATEMBELEA MIRADI YA WANANCHI WA WILAYA YA KUSINI UNGUJA, ZANZIBAR
kiungo : DK.SHEIN ATEMBELEA MIRADI YA WANANCHI WA WILAYA YA KUSINI UNGUJA, ZANZIBAR
DK.SHEIN ATEMBELEA MIRADI YA WANANCHI WA WILAYA YA KUSINI UNGUJA, ZANZIBAR
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akiangalia Tungule wakati alipotembelea Biashara za Kilimo za Ushirika wa Mtule AMCOS, pamoja na Viongozi wengine wakati alipotembelea katika Ofisi ya Ushirika huo kupata maelezo akiwa katika ziara ya kutembelea Miradi mbali mbali ya Wananchi wa Wilaya ya Kusini Unguja,(kulia) Mwenyekiti wa Ushirika wa Mtule AMCOS Bw.Mgana Khamis Zidi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) alipokuwa akiuliza jambo wakati alipotembelea Biashara za Kilimo za Ushirika wa Mtule AMCOS leo pamoja na Viongozi wengine (Pichani) matikiti yaliyouzwa kati ya Shilingi za Kitanzania Elfu tano Mpaka Elfu Nne wakati alipotembelea katika Ofisi ya Ushirika huo kupata maelezo akiwa katika ziara ya kutembelea Miradi mbali mbali ya Wananchi wa Wilaya ya Kusini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein akifuatana na Mwenyekiti wa Ushirika wa Mtule AMCOS Bw.Mgana Khamis Zidi (katikati) pamoja na Viongozi wengine wakifuatana mara baada ya kuwasili katika Ofisi ya Ushirika huo leo na kupata maelezo akiwa katika ziara ya kutembelea Miradi mbali mbali ya Wananchi wa Wilaya ya Kusini Unguja.
Hivyo makala DK.SHEIN ATEMBELEA MIRADI YA WANANCHI WA WILAYA YA KUSINI UNGUJA, ZANZIBAR
yaani makala yote DK.SHEIN ATEMBELEA MIRADI YA WANANCHI WA WILAYA YA KUSINI UNGUJA, ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DK.SHEIN ATEMBELEA MIRADI YA WANANCHI WA WILAYA YA KUSINI UNGUJA, ZANZIBAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/dkshein-atembelea-miradi-ya-wananchi-wa.html
0 Response to "DK.SHEIN ATEMBELEA MIRADI YA WANANCHI WA WILAYA YA KUSINI UNGUJA, ZANZIBAR"
Post a Comment