Wadhamini Kili Marathon wafanya amsha amsha

Wadhamini Kili Marathon wafanya amsha amsha - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Wadhamini Kili Marathon wafanya amsha amsha, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Wadhamini Kili Marathon wafanya amsha amsha
kiungo : Wadhamini Kili Marathon wafanya amsha amsha

soma pia


Wadhamini Kili Marathon wafanya amsha amsha

Wadhamini wa Kilimanjaro Premium Lager Marathon wametoa wito kwa watanzania na washiriki wengine kuhakikisha wanajiandikisha mapema ili kushiriki katika mbio za mwaka huu ambazo zinatarajiwa kuwa kubwa zaidi na kuwavutia watu wengi zaidi ikilinganishwa na mwaka jana.

Rai hii inakuja takriban wiki mbili kabla kufanyikakwa mbio hizo maarufu ndani na nje ya nchi ambazo huwaleta pamoja zaidi ya washiriki 10,000 kutoka nchi zaidi ya 45 mjini Moshi ambapo mbhio hizi hufanyika.

Akizungumza jinini Dar es Salaam, Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, Pamela Kikuli, ambaye bia yake ndio mdhamini mkuu, alisema tayari usajili umeshafunguliwa na kuwataka washiriki hususan wale wa mbio za kilometa 42 zinazodhaminiwa na bia hiyo, kujisajili kwa wingi ili Milioni 20 walizotenga za zawadi zibaki Tanzania.

“Bila shaka tunatarajia kuwa mbio za mwaka huu zitakuwa kubwa zaidi ndio maana tunasisitiza kuhusu usajili mapema ili kuepuka usumbufu dakika za mwisho,” alisema huku akiwapongeza waandaaji kwa maandalizi mazuri huku wakazi wa Dar es Salaam wakipewa nafasi ya kujisajilipia Februari 24 na 25 katika viwanja vya Mlimani City.
 Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager ambayo inadhamini Kilimanjaro Marathon, Pamela Kikuli akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Kulia ni Mkurugenzi wa Masoko wa TBL
Kaimu Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Kaskazini, Henry Kinabo akizungumza wakati wa uzinduzi wa Kilimanjaro Marathon Moshi

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala Wadhamini Kili Marathon wafanya amsha amsha

yaani makala yote Wadhamini Kili Marathon wafanya amsha amsha Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Wadhamini Kili Marathon wafanya amsha amsha mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/wadhamini-kili-marathon-wafanya-amsha.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Wadhamini Kili Marathon wafanya amsha amsha"

Post a Comment