MASHABIKI WA MUZIKI WAZISUBIRI KOLABO MATATA ZA COKE STUDIO KWA SHAUKU

MASHABIKI WA MUZIKI WAZISUBIRI KOLABO MATATA ZA COKE STUDIO KWA SHAUKU - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MASHABIKI WA MUZIKI WAZISUBIRI KOLABO MATATA ZA COKE STUDIO KWA SHAUKU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MASHABIKI WA MUZIKI WAZISUBIRI KOLABO MATATA ZA COKE STUDIO KWA SHAUKU
kiungo : MASHABIKI WA MUZIKI WAZISUBIRI KOLABO MATATA ZA COKE STUDIO KWA SHAUKU

soma pia


MASHABIKI WA MUZIKI WAZISUBIRI KOLABO MATATA ZA COKE STUDIO KWA SHAUKU




Wakati uandaaji wa onyesho la muziki la Coca-Cola Coke Studio msimu wa tano unaendelea jijini Nairobi nchini Kenya linalojumisha kolabo za wanamuziki wa kitanzania kwa kushirikiana na wanamuziki wa nje, washabiki wa muziki nchini wamezisubiri kwa shauku kolabo hizo.
Burudani za onyesho hili ambalo limepata umaarufu mkubwa nchini kutokana na kufuatiliwa na wapenzi wengi wa muziki kupitia luninga litaanza kurushwa mapema mwezi Septemba.
Kwa upande wa Tanzania wasanii ambao wako ndani ya nyumba ni Rayvanny, Izzo Bizness na Nandy.
Katika onyesho la Coke Studio msimu mwa mwaka jana wakali wa muziki nchini ambao walishiriki walikuwa ni Ally Kiba,Vanessa Mdee,Ben Pol na Fid Q ambao walishirikiana na wanamuziki Wangechi, Maurice Kirya, Victoria Kimani na 2Face.
Msanii Rayvanny (katikati) akiwa na wasanii wenzake wakifanya moja ya Mashup hivi karibuni
Mwanamuziki Izzo Business akiwa amepozi ndani ya studio jijini Nairobi

Baadhi ya wasanii nguli waliopo kwenye matayarisho ya Coke Studio msimu wa tano wakiwa katika picha ya pamoja jijini Nairobi hivi karibuni.
Kwa taarifa kamili BOFYA HAPA


Hivyo makala MASHABIKI WA MUZIKI WAZISUBIRI KOLABO MATATA ZA COKE STUDIO KWA SHAUKU

yaani makala yote MASHABIKI WA MUZIKI WAZISUBIRI KOLABO MATATA ZA COKE STUDIO KWA SHAUKU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MASHABIKI WA MUZIKI WAZISUBIRI KOLABO MATATA ZA COKE STUDIO KWA SHAUKU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/mashabiki-wa-muziki-wazisubiri-kolabo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MASHABIKI WA MUZIKI WAZISUBIRI KOLABO MATATA ZA COKE STUDIO KWA SHAUKU"

Post a Comment