Mkuchika Awasilisha fomu ya tamka la Rasilimali na Madeni Mtwara leo.

Mkuchika Awasilisha fomu ya tamka la Rasilimali na Madeni Mtwara leo. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mkuchika Awasilisha fomu ya tamka la Rasilimali na Madeni Mtwara leo., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mkuchika Awasilisha fomu ya tamka la Rasilimali na Madeni Mtwara leo.
kiungo : Mkuchika Awasilisha fomu ya tamka la Rasilimali na Madeni Mtwara leo.

soma pia


Mkuchika Awasilisha fomu ya tamka la Rasilimali na Madeni Mtwara leo.

Waziri wa Utumishi na Utawala Bora Capt Mstaaf George Mkuchika  amewataka Wabunge,madiwani na Viongozi wa Una wanaojihusisha na Biashara Na Halmashauri Kuacha Mara moja kutokana na Kwenda Kinyume na Sheria ya Viongozi Na watumishi wa Uma.

Mkuchika Ameyasema hayo wakati akirejesha taarifa fomu za Rasilimali na Madeni katika Ofisi ya sekretarieti ya maadili ya Uma Kanda ya Kusini Iliyopo Mkoani Mtwara.

Mpaka Kufikia Sasa Jumla ya Viongozi 794 ndio wamerejesha fomu za Rasilimali na Madeni kati ya Viongozi 1246 ambao wanatakiwa kuwasilisha.

Aidha Ofisi Hiyo imetenga Siku ya Jumapili tareh 31 kuanzia Mchana mpaka Jioni Kupokea Taarifa kwa Viongozi ambao hawajawasilisha.
Waziri wa Utumishi na Utawala Bora Capt Mstafu George Mkuchika Akikabidhi fomu za Rasilimali na Madeni kwa Katibu Msaidizi wa Tume ya serkretariet ya Maadili ya Utumishi wa Uma Kanda ya Kusini Mayina Henjewele.
2.Waziri wa Utumishi na Utawala Bora Capt Mstaafu George Mkuchika akionesha fomu Mara baada ya kukabidhi fomu zake na Kuhakikiwa.


Hivyo makala Mkuchika Awasilisha fomu ya tamka la Rasilimali na Madeni Mtwara leo.

yaani makala yote Mkuchika Awasilisha fomu ya tamka la Rasilimali na Madeni Mtwara leo. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mkuchika Awasilisha fomu ya tamka la Rasilimali na Madeni Mtwara leo. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/mkuchika-awasilisha-fomu-ya-tamka-la.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mkuchika Awasilisha fomu ya tamka la Rasilimali na Madeni Mtwara leo."

Post a Comment