UBUNIFU WA KIJANA OMARY WAMVUTIA DK.KAMALA, AAHIDI KUSAIDIA VIJANA KILIMO CHA MBOGAMBOGA NKENGE

UBUNIFU WA KIJANA OMARY WAMVUTIA DK.KAMALA, AAHIDI KUSAIDIA VIJANA KILIMO CHA MBOGAMBOGA NKENGE - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UBUNIFU WA KIJANA OMARY WAMVUTIA DK.KAMALA, AAHIDI KUSAIDIA VIJANA KILIMO CHA MBOGAMBOGA NKENGE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UBUNIFU WA KIJANA OMARY WAMVUTIA DK.KAMALA, AAHIDI KUSAIDIA VIJANA KILIMO CHA MBOGAMBOGA NKENGE
kiungo : UBUNIFU WA KIJANA OMARY WAMVUTIA DK.KAMALA, AAHIDI KUSAIDIA VIJANA KILIMO CHA MBOGAMBOGA NKENGE

soma pia


UBUNIFU WA KIJANA OMARY WAMVUTIA DK.KAMALA, AAHIDI KUSAIDIA VIJANA KILIMO CHA MBOGAMBOGA NKENGE

Na Ripota Wetu, Misenyi

MBUNGE wa Jimbo la Nkenge mkoani Kagera Balozi ,Dk. Kamala amempongeza kijana Rosh Omary ambaye ameamua kujikita kwenye kilimo cha mbogamboga na matunda kando ya mto Nkenge.

Kijana Omary wakati Rais Dk.John Magufuli akiwa kwenye ziara katika mkoa huo Novemba mwaka jana alitoa kilio chake kwa Rais kuwa kuna moja ya maofisa mifugo alifika kwenye shamba lake na kufyeka mazao yake.

Hata hivyo kijana huyo bado anaendelea na kilimo hicho baada ya Rais kutaka asisumbuliwe bali aachwe.

Hivyo Dk.Kamala ameamua kwenda kwenye shamba la kijana Omary kuona shughuli anazofanya, ambapo ametumia nafasi hiyo kumpongeza kwa jitihada zake kwenye kilimo cha mbogamboga na matunda.

Dk.Kamala ameona haja ya kutembelea shamba hilo na alipofika akavutiwa na ubunifu wa kijana huyo na hivyo ameshauri ni vema vijana wakaanzisha kikundi ambacho kitajikita kwenye aina hiyo ya kilimo.Amesema yeye ameahidi kutoa vitendea kazi ikiwamo mashine za umwagiliaji.
 Sehemu ya shamba la Rosh Omary ambaye ameamua kujikita kwenye kilimo cha mbogamboga na matunda kando ya mto Nkenge.
 Mbunge wa Jimbo la Nkenge mkoani Kagera Balozi ,Dkt. Kamala akikagua shamba la kijana Rosh Omary ambaye ameamua kujikita kwenye kilimo cha mbogamboga na matunda kando ya mto Nkenge.
Mbunge wa Jimbo la Nkenge mkoani Kagera Balozi ,Dkt. Kamala akiungumza jambo na kijana Rosh Omary ambaye ameamua kujikita kwenye kilimo cha mbogamboga na matunda kando ya mto Nkenge.


Hivyo makala UBUNIFU WA KIJANA OMARY WAMVUTIA DK.KAMALA, AAHIDI KUSAIDIA VIJANA KILIMO CHA MBOGAMBOGA NKENGE

yaani makala yote UBUNIFU WA KIJANA OMARY WAMVUTIA DK.KAMALA, AAHIDI KUSAIDIA VIJANA KILIMO CHA MBOGAMBOGA NKENGE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UBUNIFU WA KIJANA OMARY WAMVUTIA DK.KAMALA, AAHIDI KUSAIDIA VIJANA KILIMO CHA MBOGAMBOGA NKENGE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/ubunifu-wa-kijana-omary-wamvutia.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "UBUNIFU WA KIJANA OMARY WAMVUTIA DK.KAMALA, AAHIDI KUSAIDIA VIJANA KILIMO CHA MBOGAMBOGA NKENGE"

Post a Comment